Olld vampire...

Olld vampire...

Last edited by a moderator:
Mamndenyi pilika zinaendelea poa kabisa,na shughuli si unajua ni jumamosi,Baba v atawapa muongozo mzima wa shughuli pamoja na Asprin,shem wangu Bishanga alipotoa chop ma money walimchopua mpaka viatu ikabidi akimbilie kwenye gesi!
 
Za sa iz??
Samahan kwa kupotea!!
Nilienda kuwasalimu wazee wangu mjini Arusha.
Nimesikia unanisaka kwa hali na mali sijui nimefanyeje maana mwenyekiti wa ndoa Baba V anataka tumfuate sijui anataka nini!!
Na kwanini kaniulizia mie??
Nilikua nimepotea sasa nimerudi nadhani mambo yote hadharani...
Copy: Baba V,
@Olld vampire,
Mr Rocky,
watu8,
Arushaone
LiverpoolFC,
Madame B,
Slave,
Chimbuvu
Judgement
Asprin
etc

coz naku admire thats all,nlikutafta coz nakupeendaaaa
 
Last edited by a moderator:
watu8 ww ni muasisi wa swali liuliza u-KE/ME wa mtu?....alafu uko makini na ukaguaji watu ww..bravo
Hivi yule mtu ni ME au ni KE...??? inabidi akaguliwe kwanza loh!!!
 
Back
Top Bottom