stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,106
Za sa iz??
Samahan kwa kupotea!!
Nilienda kuwasalimu wazee wangu mjini Arusha.
Nimesikia unanisaka kwa hali na mali sijui nimefanyeje maana mwenyekiti wa ndoa Baba V anataka tumfuate sijui anataka nini!!
Na kwanini kaniulizia mie??
Nilikua nimepotea sasa nimerudi nadhani mambo yote hadharani...
Copy: Baba V,
@Olld vampire,
Mr Rocky,
watu8,
Arushaone
LiverpoolFC,
Madame B,
Slave,
Chimbuvu
Judgement
Asprin
etc

Last edited by a moderator: