asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Huyo alikuwa mchepuko wake na usishangae kukuta ndiyo chanzo cha mgogoro wenu.
Daaah!!moyo wangu waniuma sana!!ni mwanamke ambae nilimuingiza katika ulimwengu wa maraha na kiukweli nilimpenda sana!!hapa katikati kulitokea mtafaruku baina yetu..!!hata mwezi mmoja haujapita juzi kalipiwa mahari!!BADO SIAMINI ILA NDO ISHATOKEA....
Duh!huyo dada nae!!!mhhhhh????
si hadi apewe mualiko
Wasukuma wanamsemo wao unasema"oli o bhikija nti ng'wi poru" yaani maana yake ulihifadhia mti porini,unaona mti mzuri porini kwa kazi zako lkn unasema uuache utakuja kuukata siku nyingine.Daaah!!moyo wangu waniuma sana!!ni mwanamke ambae nilimuingiza katika ulimwengu wa maraha na kiukweli nilimpenda sana!!hapa katikati kulitokea mtafaruku baina yetu..!!hata mwezi mmoja haujapita juzi kalipiwa mahari!!BADO SIAMINI ILA NDO ISHATOKEA....
hujawa muwazi mtafaruku upi....?
Lazima kuna sababu ya huyo binti kukubali kuolewa haraka. Pengine wewe ndio ulikuwa mwenye makosa na umemumiza. Wanawake wengi hujikuta wakiingia kwenye mahusiano au ndoa na watu wasio wapenda wakitafta faraja au kureplace their loss.
Na huyo jamaa hajafanya hajizi kajua dem kifaa akaona akisubiri tuu lazma dem angerudi kwako. Pole ila learn.
hivi unajua maana ya demu?
demu maana yake ni kitambaa kikukuu chenye kwisha yani tambara bovu ambalo halifai kitu hivyo ndiyo demu maana yake ingia google search swahili dictionary utaona hiyo kitu hivyo msipende kuwaita wanawake mademu jamani mnawadhalilisha
Mpendwa! wakati mtu mwingine anasubiri sijui kuchunguzana wengine wanajitosa na kujisemea liwalo na liwe huyo dada sijui kawaza nini? naona kama ni mapema sana kukutana na mtu ndani ya mwezi na ndoa kutangazwa labda kaka awe ametudanganya .
Au alikuwa anajuana na huyo mwanaume muda mrefu