imekula kwako, barua zenye vitu vya ajabu tuliziacha pale pale getini, nenda kwa wauza samaki kahakikishe kama bado hawajafungia uduvi.
Kama wanakuita, si wanakuita kwenye interview tu? Ambapo lazima UFAULU hiyo interview.
Ukishindwa interview hata kama umewazidi wengine vigezo unapigwa chini.
bwahahaha wamesha ajili mkuu....i know personally some dudes wamechukua utumwa pale....mbona long time arifuZILITANGAZWA KAZI ZA "NIDA" (National Identification Authority) KUPITIA SECRETARIAT ILIYOPO WIZARA YA UTUMISHI.
KWA KUTAKA KUJUA KAMA KWELI HAWA JAMAA WAPO "FAIR", NIMETUMA BARUA IKIWA NA KITU CHA AJABU AMBACHO NAAMINI LAZIMA WANIITE KWA MAHOJIANO KUHUSU HICHO KITU AU KUNIAJIRI. WASIPOFANYA HIVYO NITAENDELEA KUAMINI KUWA HAWAJAFUNGUA BARUA ZOTE ZILIZOTUMWA HAPO.
NIMEOMBA KAZI MOJA WAPO NIKIAMINI SIFA ZOTE NINAZO KUHUSU HIYO KAZI.
NAWASIKILIZIA NYIE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT (PSRS) KUPIMA UADILIFU WENU.
NAWASILISHA:A S-alert1:
Kasri, pole sana, unapoandika barua yenye highly convincing points that you know what they really want and your the right man for the job, hiyo pekee ni disqualification maana tayari umeshaonekana tishio sio kwa wale waliotayatishiwa hiyo post uliyo omba bali vilaza waliojipanga top to bottom, left right and center!.

Mimi nitachukua tahadhari sana na wewe esp unavyopublish ur own expertise and expectations kabla hujawa even longlisted..let alone shortlisted..remeber interview is the 'decider'NOOO Pasco;
My letter ipo soooooo simple, certificates with pass GPAs, experience three years only.
So haitawatishia hao unaowaita vilaza. Being kilaza or not, akiifungua tu barua yangu lazima anitafute. Kazi kwao.
BUT how come ofisi/taasisi/secretariat imeanzishwa mpya alafu iwe na vilaza?
Nilidhani kwenye ofisi za zamani ndio kuna wa aina hiyo ambao hawang'oleki, wengine wameshastaafu kimsingi lakini bado wanajiona vijana.
Sitegemei serikali yangu tukufu iajiri wazee tena vilaza kwenye ofisi kama PSRS, NIDA na nyingine za hivi karibuni.
Kasri, hao PSRS kazi ni maajenti tuu wa recruitment ya serikali kama walivyo Radar, KPMG, Empower, De Loitte etc. Wanapokea tuu majina na kuyafanyia sampling. Determinate factor ya nani aitwe na nani amwagwe inafanywa na NIDA wenyewe na huko ndiko hayo ma threat yalikolala.NOOO Pasco;