Ole wenu wizara ya utumishi kuhusu kazi za nida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ole wenu wizara ya utumishi kuhusu kazi za nida

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KASRI, Feb 9, 2011.

 1. K

  KASRI Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ZILITANGAZWA KAZI ZA "NIDA" (National Identification Authority) KUPITIA SECRETARIAT ILIYOPO WIZARA YA UTUMISHI.

  KWA KUTAKA KUJUA KAMA KWELI HAWA JAMAA WAPO "FAIR", NIMETUMA BARUA IKIWA NA KITU CHA AJABU AMBACHO NAAMINI LAZIMA WANIITE KWA MAHOJIANO KUHUSU HICHO KITU AU KUNIAJIRI. WASIPOFANYA HIVYO NITAENDELEA KUAMINI KUWA HAWAJAFUNGUA BARUA ZOTE ZILIZOTUMWA HAPO.

  NIMEOMBA KAZI MOJA WAPO NIKIAMINI SIFA ZOTE NINAZO KUHUSU HIYO KAZI.

  NAWASIKILIZIA NYIE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT (PSRS) KUPIMA UADILIFU WENU.

  NAWASILISHA:A S-alert1:
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  imekula kwako, barua zenye vitu vya ajabu tuliziacha pale pale getini, nenda kwa wauza samaki kahakikishe kama bado hawajafungia uduvi.
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Kama unazo sifa zote watakuita tu. mbona wenzio tumepitia huko na sasa tupo kwa kazi?
   
 4. K

  KASRI Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama mliifungua msingeweza kuiacha hapo getini, lazima mngenitafuta kwa wema au ubaya.
  Nasisitiza ilikuwa na kitu cha ajabu, mtu hawezi kukaa kimya.
   
 5. harns

  harns New Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakikuita utuambie!!!!!:laugh:
   
 6. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kama wanakuita, si wanakuita kwenye interview tu? Ambapo lazima UFAULU hiyo interview.
  Ukishindwa interview hata kama umewazidi wengine vigezo unapigwa chini.
   
 7. K

  KASRI Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Issue ni nasikilizia kama wataniita. Kuhusu kuajiriwa au kutoajiriwa siliongelei kwa sasa maana natambua uwepo wa wengi wenye vigezo hata zaidi ya vyangu.
  Nisipoitwa nitaomba hiyo ofisi wawe wakweli na waaminifu/waadilifu kwenye utendaji wao.
  Nafahamu mashirika mengi yanatangaza kazi huku tayari kuna watu wameandaliwa, hivyo kwa PSRS sitegemei na haitakaa vizuri kama nao watafanya hivyo.
   
 8. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ebwana m2 wangu wakikuita u2ambie na kwny barua umeweka nini ili na cc 2jue mana wanazan photocopy ulizokuwa unatoa ulitoa bure wewe wakikuita 2ambie ili cjue na cc 2fanye hvyo hvyo
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  bwahahaha wamesha ajili mkuu....i know personally some dudes wamechukua utumwa pale....mbona long time arifu
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,546
  Likes Received: 18,196
  Trophy Points: 280
  Kasri, pole sana, unapoandika barua yenye highly convincing points that you know what they really want and your the right man for the job, hiyo pekee ni disqualification maana tayari umeshaonekana tishio sio kwa wale waliotayatishiwa hiyo post uliyo omba bali vilaza waliojipanga top to bottom, left right and center!.
   
 11. K

  KASRI Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  NOOO Pasco;
  My letter ipo soooooo simple, certificates with pass GPAs, experience three years only.
  So haitawatishia hao unaowaita vilaza. Being kilaza or not, akiifungua tu barua yangu lazima anitafute. Kazi kwao.

  BUT how come ofisi/taasisi/secretariat imeanzishwa mpya alafu iwe na vilaza?
  Nilidhani kwenye ofisi za zamani ndio kuna wa aina hiyo ambao hawang'oleki, wengine wameshastaafu kimsingi lakini bado wanajiona vijana.
  Sitegemei serikali yangu tukufu iajiri wazee tena vilaza kwenye ofisi kama PSRS, NIDA na nyingine za hivi karibuni.
   
 12. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kaka nakubali wewe ni mkali. Umeona mbali sana. Mimi nilishapigwa chini pale TIC kwa mzee Ole Naiko kwa kuwa nilikuwa tishio kwa vilaza kadhaa
   
 13. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mimi nitachukua tahadhari sana na wewe esp unavyopublish ur own expertise and expectations kabla hujawa even longlisted..let alone shortlisted..remeber interview is the 'decider'
  Nimeajiri weeengi lakini kigezo si GPA as mosts aren't capable of delivering their outputs as opposed to their colourful 'gambas'
  Beware..don't have too much expectations and also conditions!

  Mhandisi
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,546
  Likes Received: 18,196
  Trophy Points: 280
  Kasri, hao PSRS kazi ni maajenti tuu wa recruitment ya serikali kama walivyo Radar, KPMG, Empower, De Loitte etc. Wanapokea tuu majina na kuyafanyia sampling. Determinate factor ya nani aitwe na nani amwagwe inafanywa na NIDA wenyewe na huko ndiko hayo ma threat yalikolala.
   
 15. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  i have noted Kasri. Ntaitafuta hiyo barua yako na kuona kuna nini, then tutakupigia simu iwe kwa wema au ubaya.
   
Loading...