Ole wenu wazee wa CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ole wenu wazee wa CCM!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BabaDesi, Oct 16, 2010.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ole wenu wazee wa CCM.
  Ole wenu Mmemchunia Jamaa ana-fight peke yake na Mkewe na Wanawe,
  Ole wenu akishinda Kiti cha Enzi.
  Ole wenu na yeye atakavyowachunia kwa staili ya "Si Mlinichunia? Sasa Mtakoma!"
  Ole wenu miaka mitano ijayo itakavyokuwa michungu kwenu.
  Ole wenu atakavyopitisha muswada wa kupunguza ama kufuta kabisa marupurupu yenu ya Uraisi na Uwaziri Mkuu Mstaafu wenu!

  Salama yenu ni Moja tu.
  Mpeni Dr Slaa kura zetu.
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  nimeipenda bure
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Na JK akifanikiwa kuingia madarakani kwa kuiba kura hawa wazee wajiandae kwa visasi.
  Manake moja kati ya sifa za uyu Mkuu ni kulimbikiza visasi kama vipolo
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Pole zao na Dr. Slaa akichukua Mwendo ule ule... Kata hayo Marupurupu nadhani wengi wao Wameshiba Mzee Mwinyi, Lowassa wametosheka
   
 5. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nimeipenda ghafla
   
 6. fige

  fige JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani kusikia visasi vyake,nasikia akina babu seya na liyumba nao ni visasi vyake kukaa jela ?siwajui vizuri hivi hawa jamaa wanagombea uraisi wa nchi gani kwa tiketi ya vyama gani ?
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,849
  Likes Received: 11,966
  Trophy Points: 280
  The problem ni pale aliposema urais ni mali ya familia hatujasahau eti kwa hiyo ikabidi wazee wakae pembeni wakiangalia baba na mwana na mama utatu mtakatifu wanavyocheza.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Interesting..
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Asante Mkuu! Hebu basi gonga hapo 'senks' ili mtaji wangu wa senks uongezeke! Pia nawe Expedito na Abdulhalim! :whoo:
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nimekugongea Mkurugenzi..
   
 11. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda!
   
 12. n

  ndeukoya Member

  #12
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U deserve a million thanks
   
Loading...