Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,842
- 168,108
duu
- Hata ukimzalisha watoto nane, siku akiamua kukuacha atakuacha na kwenda kujioza hata kwa Serengeti Boy
- Ana njia zaidi ya million sita za kukupumzisha mahali pema bila kujulikana na yeyote
- Ndio Mama zetu, usimdharau mwanamke yeyote, ni mama wa mwenzako kama alivyo mama yako
- Wana akili kuliko wanaume, wanaona mbali sana
- Usiombe akulipizie kisasi, utajuta kuzaliwa
- Wanaume tuna MBINU, WANAWAKE WANA MITEGO
- Wana akili kuliko wanaume, wanaona mbali sana
Bujibuji we mchawi kuna mtu nimetoka mwambia hiyo kauli hapo mwishoni kwmb tuna mitego mikali na kupona uwe na malaika na roho mtakatifu, km ni akili Mungu alitupa nyingi mno kuzidi nyie lkn ktk hiyo akili tulopewa kuna kitu tulipunguziwa ndo maana Bado tunalilia 50 kwa 50 ilhali hata 30 hatujaifikia
- Hata ukimzalisha watoto nane, siku akiamua kukuacha atakuacha na kwenda kujioza hata kwa Serengeti Boy
- Ana njia zaidi ya million sita za kukupumzisha mahali pema bila kujulikana na yeyote
- Ndio Mama zetu, usimdharau mwanamke yeyote, ni mama wa mwenzako kama alivyo mama yako
- Wana akili kuliko wanaume, wanaona mbali sana
- Usiombe akulipizie kisasi, utajuta kuzaliwa
- Wanaume tuna MBINU, WANAWAKE WANA MITEGO
Mkuu una maanisha Giggy money na Amber Rutty wana akili kuliko wewe?
Hao sio wanawake, ni visichanaMkuu una maanisha Giggy money na Amber Rutty wana akili kuliko wewe?
Huwa nawasoma tu naishia kucheka. Ila sisi ni maji, wasipotunywa, watatupikia au kutuoga. We run their world.Hahahaaa, mnatudharau sana wanawake. Ndo maana wakati mwingine mnashindwa maisha. Mungu anamakusudi kutuleta duniani.
Hii umechelewa mkuu wewe zako post ya kwanza hii 3Wanawake wana mbinu za mashambulizi na ushawishi balaa...hatari sana hawa viumbe
mbona hamna shida!Hii umechelewa mkuu wewe zako post ya kwanza hii 3
Cause to you, bitches ain't shit but hoes and tricks)Huwa nawasoma tu naishia kucheka. Ila sisi ni maji, wasipotunywa, watatupikia au kutuoga. We run their world.