Ole Wenu JF member Umnaomzengea PRETA

Hata akificha huko wako wanaJF wanaubavu wa kumlegeza na wakaingia uvunguni na hiyo springknife waisogeza na kula chumvi na akakubali sembuse nungunungu mwenye miiba lakini anaz................................
 
Simba na ukali wote ule anabonyea,
Sembuse Preta?
 
Preta njoo uone picha zako zinavyo anikwa..
 
Last edited by a moderator:
Preta njoo uone picha zako zinavyo anikwa..
 
Last edited by a moderator:
Mkwala tu, hata nyuki na nyigu pamoja na ukali wote walio nao lakini jirani kabisa na pale kwenye msumari ndio mabingwa wanaburudika huku wakiwa wametulia tuli nawaki enjoy na wao pia. Unafanya mchezo nini..
 
Hajakutana tu na Bishanga mzee wa kuhonga,
utalia na roho yako mkuu.
 
Simba anang'ata ila kwa shughuli za mahusiano anatingisha mkia, naaam analala hoi hata kunyanyuka alipokaa anafikiria mara tatu tatu...chezea ile kitu weye
 
Mweee! JF nomaa! Nakumbuka pale block E' watu walivyokuwa wanacoment picha za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…