Ole Sosopi: Tunashukuru wananchi kwa ushirikianao mliotuonyesha, CCM wanabebwa na polisi

*Shukurani Kwetu Makamanda*
Awali ya yote nimshukuru Mungu kwa uzima aliotuonekania wote sisi viongozi wa Bavicha na wanachama wote.

Nitumie fursa hii adhimu sana kwa kifupi tu, kuwa shukuru vijana wote nchi nzima kwa support kubwa na hamasa mliyoionyesha tangu Bavicha tutoe tamko la kwenda Dodoma kuzuia mkusanyiko haramu wa CCM kufuatia kauli ya Jeshi la Polisi na Rais Mwema sana.
Tumepitia changamoto mbalimbali ambazo mpaka sasa adhima yetu imefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 99%.

Polisi na serikali wametambua nguvu tuliyonayo, ni kweli kabisa CCM bila polisi niwepesi kuliko tissue paper.
Viongozi wa Bavicha Taifa, mikoa, wilaya na kata tuko imara sana....
Hivi karibu tutawaeleza maamuzi mapya na tutaomba pia vijana wenzetu mtuunge mkono.
Shukrani nyingi sana pia makamanda wote waliotumia muda wao ku-amplify kazi zetu za Bavicha, kupitia Whatsup, FB, JF na Twitter na media zote.
......aluta continua........

*To Be Is To Do*

Ole Sosopi
13 July 2016
Hawa bavicha wanajifanya vijogoo sana mbona vijana wa ccm wamekuwa wakiwakunguta sanaa
 
Vijana mumefanya jambo kubwa sana. Sasa watu wa Dodoma wamejua kumbe polisi Dodoma wana magari zaidi ya 40, pikipiki nyingi mno, mbwa walionona wa kutosha na silaha za nguvu.
Sasa tukisikia matukio ya ujambazi, kuteka magari na uokozi halafu eti wanashindwa kufika kwa wakati tutajua kuwa wana maslahi binafsi na matukio hayo.


Umeongea point.
Yaani jeshi la linashindwa kutekeleza majukumu yake.

Wanakwenda kupambana na watu wasio na silaha na kuacha majambazi yenye silaha yakifanya uhalifu.
 
DUUU YAAN HAMNA HOJA TENA JAMAN, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO, KUPAMBANA NA OFISADI NA RUSHWA, NYIE MNAPANGA KWENDA KUZUIA MKUTANO, POLE YENU JAMAN MMEPOTEZA DIRECTION HAMJIELEWI


toka 2008 mafisad walioibuliwa ni wa ngap wamefikishwa mahakamani? Kwa hiyo upande ule una dhamana ya kuiba ila upande wa chadema ni kukemea? Hatar sna.
 
Tunasubiri tarehe 23 tutakavyojimwaga Dodoma kumpata mwenyekiti wa chama.
 
Leo ningependa kujua jambo moja, Mbowe kua KUB alijipendekeza au alijiandika akaomba Chama kimpitishe swali hili likijibiwa nategemea kujiunga na Chadema
 
DUUU YAAN HAMNA HOJA TENA JAMAN, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO, KUPAMBANA NA OFISADI NA RUSHWA, NYIE MNAPANGA KWENDA KUZUIA MKUTANO, POLE YENU JAMAN MMEPOTEZA DIRECTION HAMJIELEWI
Kuna kiongozi mkubwa kazuia ajira, halafu anasema tufanye kazi!!! Kapunguza mishahara halafu kapandisha kodi na kuziongeza kodi nyingine kibao na kusababisha wananchi kutokuwa na hela
HII NAYO UNAIONGELEAJE!?!!!?
 
DUUU YAAN HAMNA HOJA TENA JAMAN, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO, KUPAMBANA NA OFISADI NA RUSHWA, NYIE MNAPANGA KWENDA KUZUIA MKUTANO, POLE YENU JAMAN MMEPOTEZA DIRECTION HAMJIELEWI
Wewe unayo? Ufisadi na rushwa ni zao la mfumo, hata JPM atazalisha rushwa na mafisadi wa utawala wake, watakuwa makini kupiga dili vibaya mno, ni kutiki na kufuta
 
Kila mtu ni msemaji tu,Ole sosopi ni nani? Petrobas katambi yu wapi?
Hivi vyama vya kisanii vina matatizo sana,kila mtu ni msemaji,haya tunasubiri hayo maamuzi yenu mapya maana mnaonekana hamjaridhika na zuio la mwenyekiti wenu
Shida iko wapi? Hii sio ccm ambayo mpaka msemaj ndo asubiriwe hata kama anaumwa..... punguza kuishi kwa mazoea mkuu....
 
bavicha mmepoteza mwelekeo, wananchi tunataka mtuoneshe tunapataje maendeleo, sio huo usanii mwingine!!
Hujielewi, maendeleo ni wewe, je wewe umeendelea? Jiongeze ati. Barabara, maji umeme ni haki ya kila mtu na sio kundi fulani, ila maendeleo ni wewe ujiendeleze ukisubiri uletewe utaishia kuuza ugoro
 
Back
Top Bottom