Ushauri: RPC wa Morogoro ajiunge na Chama cha Mapinduzi ili afanye siasa kwa uhuru kama wanaccm wengine

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,628
218,059
Kitendo cha Viongozi wa Bavicha , Ole Sosopi na wengine kukamatwa tena leo huko Morogoro na kuwekwa Mahabusu bila sababu za msingi ni kitendo cha kishamba kilichojaa uonevu uliopitiliza na kisichokubalika na mtu yeyote mwenye akili timamu , ni kitendo cha uoga wa kutia aibu .

Kama ccm wamefanya mkutano wa hadhara na kutambulisha kikosi cha Green guard hadharani , tena mbele ya polisi , hofu ya Mutafungwa ya kuwazuia vijana wadogo sana wa Chadema kufanya vikao vya ndani na wanachama wao inatoka wapi ? Ni vema Mutafungwa akatambua kwamba hana kinga yoyote itakayomlinda baada ya madaraka yake kwisha , ni vema akaachana na kazi ya umma na akajiunga na chama chake ili aweze kushiriki moja kwa moja.

Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana , Omari Mahita baada ya kustaafu U IGP wake aliburuzwa mahakamani kwa kesi ya aibu sana ya kumpachika mimba house girl wake mwenyewe na kuruka matunzo ya mtoto , bado haijafahamika mpaka leo kama alitumia cheo chake kubaka ama walikubaliana ( bado tunaendelea kuchunguza ) , ccm haikuweza kumsaidia kwenye aibu hii hata baada ya kuitumikia kwa uaminifu mkubwa sana , ikumbukwe kwamba rekodi ya ukatili ya Mahita kwa vyama vya upinzani mpaka leo haijawahi kuvunjwa.

Viongozi wa polisi wa Morogoro wachukue yaliyompata Mahita kama somo kwao .
 
Watu wasiojulikana
 
Ogopa sana mtu asiye na mtoto
 
Mnachukua hatua gani sasa? Maana ni muda mrefu sasa umepita tangu malalamiko haya yaanze.Au ndiyo mwendo wa kuendelea kulalamika tu humu jukwaani?

Hamuoni mnavyoshindwa kuchukua hatua ndivyo ambavyo hiyo hali mnayoita ni ya uonevu itazoeleka na kuonekana ni ya kawaida?

Au mnasubiri atokee mwanachama wenu mahiri kama yule Bob Chacha Wangwe akafungue shauri mahakamani? Nimeuliza kwa nia njema tu.
 
mbona unautuhumu upande mmojea au kwasababu na wewe ni chadema ndo mana unasema hivo
ofcorse hawawezi kukamatwa bila kosa lazima kuna mahali wamezingua
habari ndo hiyo
 
Back
Top Bottom