Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.