Ole Sendeka: MwanaCCM atakayenaswa kwa ufisadi ataadhibiwa mara mbili

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Msemaji wa CCM Ndugu Ole Sendeka ameonya kuwa iwapo mwana CCM atapatikana kwa kosa la ufisadi basi ajiandae kuadhibiwa mara mbili yaani kuadhibiwa na JMT na kuadhibiwa na CCM.

My take
Hizi ndio zinaitwa salamu kwa wale mafisadi waliojibanza ndani ya CCM kuwa mtumbuaji yu karibu kuja kutumbua kama una wasiwasi mfuateni babu yenu CHADEMA.
 
Hahaa yaani olesendeka ,ni kama amechanganyikiwa ....ufisadi na ccm ni kama lila na fila huwa hazitengani.....mafisadi wote ni ccm....kwanza aanze ndani ya chama,watu wanakula pesa za chama nenda ....pale Arusha uone ....wanavyotafuna ,vitegauchumi vya vyama
 
Kama huamini endelea...
 
Hebu atuambie,kuna mafisadi wanaitafuna nchi wakiwa nje ya ccm?Madudu yote ni humo humo ccm!Kashfa kubwa kubwa ni humo humo ccm,ccm imeoza!Magufuli anapulizia pafyumu juu ya uozo,hiyo sio dawa!
 
Ulimuona mama mkwe jana pale kisutu??
 
Katibu Mwenezi wa CCM Ndugu Ole Sendeka ameonya kuwa iwapo mwana CCM atapatikana kwa kosa la ufisadi basi ajiandae kuadhibiwa mara mbili yaani kuadhibiwa na JMT na kuadhibiwa na CCM.

My take
Hizi ndio zinaitwa salamu kwa wale mafisadi waliojibanza ndani ya CCM kuwa mtumbuaji yu karibu kuja kutumbua kama una wasiwasi mfuateni babu yenu CHADEMA.
Hongera sendeka , kutoka kuwa msemaji hadi kuwa katibu mwenezi ! umempindua Nape au umeteuliwa na Kikwete ?
 
Kwamba Chenje, tiba, jiki, ngerere, n.k. S
Hawapo ccmuni au ni ukosefu wa kumbukumbu na akili
 
Hahaa yaani olesendeka ,ni kama amechanganyikiwa ....ufisadi na ccm ni kama lila na fila huwa hazitengani.....mafisadi wote ni ccm....kwanza aanze ndani ya chama,watu wanakula pesa za chama nenda ....pale Arusha uone ....wanavyotafuna ,vitegauchumi vya vyama
Hata watanzania wanajua hio ilikua zamani wakati Lowasa yupo CCM sasa hivi ufisadi umehamia CHADEMA
 
Msemaji wa CCM Ndugu Ole Sendeka ameonya kuwa iwapo mwana CCM atapatikana kwa kosa la ufisadi basi ajiandae kuadhibiwa mara mbili yaani kuadhibiwa na JMT na kuadhibiwa na CCM.

My take
Hizi ndio zinaitwa salamu kwa wale mafisadi waliojibanza ndani ya CCM kuwa mtumbuaji yu karibu kuja kutumbua kama una wasiwasi mfuateni babu yenu CHADEMA.
Mngeanza na chenge.
 
Hata watanzania wanajua hio ilikua zamani wakati Lowasa yupo CCM sasa hivi ufisadi umehamia CHADEMA
kutenganisha ccm na ufisadi ni sawa na kutemganisha pumzi na mwili unategemea nini. ccm ndio chaka cha mafisadi na chama cha majipu.
 
Hahaa yaani olesendeka ,ni kama amechanganyikiwa ....ufisadi na ccm ni kama lila na fila huwa hazitengani.....mafisadi wote ni ccm....kwanza aanze ndani ya chama,watu wanakula pesa za chama nenda ....pale Arusha uone ....wanavyotafuna ,vitegauchumi vya vyama
Yeye mwenyewe ni jipu haswa.
Wanatumia kivuli cha chama kufisadi nchi
 
Back
Top Bottom