"Nawashauri viongozi wa upinzani kukaa chini na kutafakari hatua yao ya kususia Bunge kwani haina manufaa kwa jamii"
Nasi tunaomba kumshauri aka re seat nakuongeza ka elimu japo kidogo! Anasemaje?.......apige paper na wajukuu zake!
Source: Christopher Ole Sendeka
Msemaji wa CCM
View attachment 355511
Na Mbowe je? Olesendeka ni msemaji wa Kamati ya chama alipata zero. Mbowe ni mwenyekiti wa chama alipata zero. Je ni wapi wanaongozwa na kilazaAkarekebishe matokeo yake ya kidato cha sita kwanza .
Kila wanapompagusa wanakuta ni moto,ccm wanalo hili na wananchi ndio tunalifuatilia kila konaNi wazi swala la ukawa kutokuingia bungeni linawasumbua na ndomana wakawakataza kufanya mikutano na kutokuwalipa posho, hiyo yote ni ili tu kuwabana ukawa wahudhurie vikao vya bunge akat tuli akiwa kwenye kiti. ila wamebughi men..
Anayekupiga kitu huwa hakikolezi vizuri.... Naona bado miwasho inakusumbua.Wamesusa kwa ajili hawaoneshwi live!
wanataka waonekane live wanavyoonyesha vidole vya katiWakati wa Nyerere hakukuwa hata na gazeti huru wachana na live. Mbona hampondi?
Kama mnawasanii wanaotaka kufanya maigizo Live walipie muda vituo vya TV. Bungeni NO.
Mbowe ana elimu ganiHili ndilo tatizo la kuwa na walio kosa elimu kupewa uongozi. Kwan UKAWA wamesusia vikao vya bunge au wana mgogoro na naibu spika? Acheni kuhamisha mada.
Mbona hawakusema tangu mwanzo hawatachukua posho ndio kwanza bila aibu asubuhi wanajiandikisha bila soni jioni wanaenda chukua posho. It is unbelievable. Hawapewi posho kwa sababu hawafanyi kazi period!Walidhani wanachukua posho, kumbe wala! Wakajua watawakata kwenye posho wakaambiwa posho haikuwapeleka bungeni, sasa wameanza kuwabembeleza.
Wewe ni wa wapi...! Ni kwamba tangu waanze kutoka wana sign mahudhurio siyo posho, kamuulize NS ni lini walichukua posho tangu wamuachie bunge lake.Mbona hawakusema tangu mwanzo hawatachukua posho ndio kwanza bila aibu asubuhi wanajiandikisha bila soni jioni wanaenda chukua posho. It is unbelievable. Hawapewi posho kwa sababu hawafanyi kazi period!
ua posho siku zote walizosaign! Ndio hataka mama Tulia na wengine wakaliona hili nakuupigwa stop. Mimi mwenyewe kabla hata mama Tulia hajasema nilikwishasema nasikia uchungu sana kwa wasanii hawa kuchukua posho huku hawafanyi kazi. Sasa wewe eti unawakanushia kwa niaba yao. Mbona hawakukanusah awali?!?!/ SHame on them! name nafuraha kubwa P.A.Y.E yangu ikanunulie madawa hospitalini!Wewe ni wa wapi...! Ni kwamba tangu waanze kutoka wana sign mahudhurio siyo posho, kamuulize NS ni lini walichukua posho tangu wamuachie bunge lake.
Wewe ni mgumu kuelewa, ni hivi silinde aliweka mambo sawa ili kuondoa mawazo kama hayo kwako, CCM walikua wanapotosha kuwa wanasaini na kuchukua posho wakati walikua hawachukui, umeelewa??Walichuk
ua posho siku zote walizosaign! Ndio hataka mama Tulia na wengine wakaliona hili nakuupigwa stop. Mimi mwenyewe kabla hata mama Tulia hajasema nilikwishasema nasikia uchungu sana kwa wasanii hawa kuchukua posho huku hawafanyi kazi. Sasa wewe eti unawakanushia kwa niaba yao. Mbona hawakukanusah awali?!?!/ SHame on them! name nafuraha kubwa P.A.Y.E yangu ikanunulie madawa hospitalini!
Siwezi kuelewa kwakuwa endapo wangekuwa hawachuki wangekanusha mapema.walikuwa wanasign na wana chukua posho umenifahamu?!?!?!Wewe ni mgumu kuelewa, ni hivi silinde aliweka mambo sawa ili kuondoa mawazo kama hayo kwako, CCM walikua wanapotosha kuwa wanasaini na kuchukua posho wakati walikua hawachukui, umeelewa??
Sawa bi mkubwa= kukariri
Return to sender"Nawashauri viongozi wa upinzani kukaa chini na kutafakari hatua yao ya kususia Bunge kwani haina manufaa kwa jamii"
Source: Christopher Ole Sendeka
Msemaji wa CCM
View attachment 355511
Nani kasema UKAWA sio saizi yake acha wivu hao hawana jipya na ukweli wataambiwa tu ,their resistance is very negligible to the point we assume it to be negative hence no effect it produces.Olesendeka Ukawa siyo size yako hata kiduchu, bora ungekuwa unakaa kimya
Bk 7Wamesusa kwa ajili hawaoneshwi live!
Bk 7Na mwenyekiti wetu nae arekebishe .
Hakuna aliekosa elimu hapa labda ukawa walikosa malezi ndo maana wanapanic na kuchukua maamuzi yasiowafikisha popote na watabaki hivo hivo adi yesu anarudi kulichukua kanisa.Hili ndilo tatizo la kuwa na walio kosa elimu kupewa uongozi. Kwan UKAWA wamesusia vikao vya bunge au wana mgogoro na naibu spika? Acheni kuhamisha mada.