kwa haya yanayoendelea bungeni na yanaharibu taswira nzuri ya serikali iliyoko madarakani iliyoanza kujengeka kwa wananchi wanyonge hata wale waliomchagua lowasa tayari walishabadilika na kumkubali jpm.
sasa hiki kinachotokea kinavunja moyo wananchi.
bunge liitishe kikao cha muafaka wasonge mbele mbona sisi mahodari kusuluhisha migogoro ya majirani?