Ole Sabaya Yuko Wapi? Kila Mahali Haonekani!

Kaulize police au takukuru.
Kwani familia yake wanasemaje?
 
We ni msukule wa dikteta aliepaazwa na Covid19,
Kashapotea mavumbini,
Sabaya lazima aende jela, Tena sasaivi anawalipa nyinyi kina Aunt idugunde mumtukane Rais mitandaoni,
Aisee ndio mnamchongea kabisa uyo bwabwa mwenzenu
Makalio yako yanakuwasha
 
Yupo Pestana pub
 
MUNGU wetu atusaidie kutuondolea na Ndugai
 
Bado spika ya radio ndugu gay
 
Wasipomchunga vizuri atajinyonga yule dubwana.
 
Ukimtafuta saa nane na nusu usiku, muda ule alikuwa anawatembelea watu, utampata tu.
 
Hii ni akili sasa we mburula?
Kajaribu kupatia kiberiti uone kama naongopa. Any way nipo nakunywa mabeir na mambuzi kusherehekea siku 60 aa kuondokana na mateso. Karibu tusherehekee mkuu! Sisi ni sherehe tu maana hakuna namna sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…