Huyu bwana anaona anataka kuleta kitu kingine kiitwacho Ukabila ili kukwepa kutoka kwenye kashfa hii ni pia kumtetea bwana EL. Hawezi kutupeleka kwenye ukabila kirahisi hivyo .....TIC haiwezi kukwepa lawama hapa kama Richmond imejulikana kuwa ni kampuni hewa!!
Report ya kamati ya Dr. Mwakyembe imetaja TIC sio OLE NAIKO na kabila lake. Sasa ndo utajua kuwa viongozi wengi wanaoongoza taasisi nyeti ni watu wenye upeo mdogo wa uelewa. Watu wa namna hii ndo walifilisi mashirika ya umma.