King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,371
- 88,565
😀😀😀😀😀 iko kipengele nakisahau sana kabisa LENYE KOJO.
😀😀😀😀😀 iko kipengele nakisahau sana kabisa LENYE KOJO.
Hao ni waombolezaji au wazomeaji? I mean kama nimefiwa na mtu wangu wa karibu ninayemjali sijui kama nitapata muda au hata nguvu ya kuzomea mtu.
Evidence hizi habari za kukaa ndani ya shuka na kuanza kujitungia tu ili upate kusoma comment za watu siku iende
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta wewe ushahidi hajazomewaJaribu kutumia akili kidogo. ....yeye ndo alileta habari hapa bila ushaidi wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Maskofu walikuwa zaidi ya 7 meza kuu (Askofu Makundi,Askofu msaafu Dr Akyoo,Askofu Masangwa,Askofu Mwizarubi.... wote walibaki wakitayaari sana.Evidence hizi habari za kukaa ndani ya shuka na kuanza kujitungia tu ili upate kusoma comment za watu siku iende
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu ya kujitakiaTena kazomewa mbele ya Mke wake.
weka video ku back up hii habari usituletee matango poriKatika hali ya kushangaza Ole Millya azomewa msibani.Hili limetokea baada ya kupewa nafasi ya kutoa salamu na kuingiza masuala ya CCM ndipo waombolezaji walipomtolea uvivu na kuanza kumzoea kwa nguvu
Kwa hiyo alikimbia kusikojulikana? Ngoja tusogeze siku maana wavuta bangi wawili wqkipiga mayowe,tayari mnawaita wananchitaarifa zaidi zinadokeza kwamba baada ya kuzomewa alikimbia
Evidence hizi habari za kukaa ndani ya shuka na kuanza kujitungia tu ili upate kusoma comment za watu siku iende
Sent using Jamii Forums mobile app
Alieleta habari ndo alete kwanza mana yeye ndo kaanza kuudanganya Umma