Ole Milya azomewa msibani

Ole Milya azomewa msibani

Nasikia wabunge wote walionunuliwa wana mkataba wa kuachiwa jimbo hadi 2020.Huu mkataba Slow slow kasign sijui wafia chama kama watakubali.
Ngongo, hiyo kitu haitakaa itokee, 2020 wote hao wanapigwa chini majimbo yanarudi kwa wafia chama! Huo ndio mwisho wao kisiasa!
 
Weka clip tuone wakizomeana

Hivi una akili kweli msibani watu wanaomboleza wewe una chukua simu unarecord upumbavu wa Millya.

Kama hutaki kuamini shauri yako habari ndio hiyo.
 
Ngongo, hiyo kitu haitakaa itokee, 2020 wote hao wanapigwa chini majimbo yanarudi kwa wafia chama! Huo ndio mwisho wao kisiasa!

Chama kinaweza kupelekwa mahakamani iwapo mkataba utavunjwa kinyamela
 
Hawajalipopoa na mawe?! Hilo jamaa jinga kabisa linaleta siasa msibani
 
Katika hali ya kushangaza Ole Millya azomewa msibani.Hili limetokea baada ya kupewa nafasi ya kutoa salamu na kuingiza masuala ya CCM ndipo waombolezaji walipomtolea uvivu na kuanza kumzoea kwa nguvu
Since when he betrayed the people his face has changed to look like a canine(dog) his smile like nyonyadamu(vampire) with mwanya like a cave. He does not look like a human. Sad when young choses to bury ones self.
 
Nihaki yao kuzomea kma ilivyo haki ya milya kuhama chama. Hata waziri mkuu wa uingereza huzomewa sana tena bungeni na waheshimiwa kabsaaa!!
 
Hivi una akili kweli msibani watu wanaomboleza wewe una chukua simu unarecord upumbavu wa Millya.

Kama hutaki kuamini shauri yako habari ndio hiyo.
mazingira ya JF yanataka ushahidi wa ziada ya maneno sio wote walikuwepo na kuona na sio wote wanakufahamu ili kuweza kuamini maelezo yako pekee bila ushahidi wa ziada.
 
Najua wewe ni Mong’o unapenda league sana lakini ukweli ndio huo Millya jana kazomewa tena mbele ya mke wake.

Alipopewa mic 🎤 aliomba waombolezaji tuimbe wimbo namba 309 kitabu cha Mwinbieni Bwana fungu la kwanza tu “Karibu na Wewe,Mungu baada ya kumaliza akaanza kuingiza uCCM ndipo watu wakaanza kumzomea akabadili gear ya kuingiza jina la Sokoine tayari alishakosea hakuwa na namna tena alishajionyesha alivyomjinga.

Mwenzake Nyalandu aliongea vizuri hasa akimwelezea marehemu jinsi alivyokuwa mchangamfu na mwenye upendo.
 
sasa si unaona unavyopata tabu kujieleza; ungeweka clip ingerahisisha mambo mengi.
 
Back
Top Bottom