Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

Hivi mtu unaweza kupigwa na wananchi ukaendelea na kazi zako kama kawaida hata hospital uendi? huyo atakuwa kapigwa na maganda ya mayai.
 
ndo kauli mbiu ya magamba huko Arumeru 'Rushwa kwanza bwana'
 
Ole Meideye Umeshaweka jimbo lako rehani. Utapambana na Diwani wa Sekei kupitia CDM. Ukombozi umekuja
 
Back
Top Bottom