Ole Medei Azimiwa Kipaza Sauti Kanisani.

Ole Medei Azimiwa Kipaza Sauti Kanisani.

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Baada ya kutoswa kuwa naibu wa waziri wa ardhi.... sasa ni jimboni kwake

Nimesikia sasa hivi kwenye magazeti,
mh mbunge huyu amezimiwa kipaza sauti akiwa anahubiri kanisani kwenye kuchangia ujenzi wa kanisa la KKKT Arumeru na kutumia muda mwingi kuhubiri siasa na kujisifia zaidi

Ndio wakamzimia mic, sijui alikuwaje baada ya kuzimiwa, pole mh mbunge.

SOURCE: Magazeti
 
Mwisho wake wa kisiasa umefika kazi kuhubiri ukabila uwezi pambana na Chadema ukabaki salama
 
Yaani wahuni kama lema, msigwa na afande sele wanaachwa halafu viongozi makini ndio wafanyiwe hivi? Masihara haya
 
Kazi kwake kusoma alama za nyakati kabla ya 2015......!!
 
Sasa walivyomwalika mwanasiasa kanisani walitegemea aongee mambo gani kama sio siasa!!!

Binafsi naona hao waliotoa mwaliko ndio hawajielewi...
 
Baada ya kutoswa kuwa naibu wa waziri wa arthi.... sasa ni jimboni kwake

Nimesikia sasa hivi kwenye magazeti,
mh mbunge huyu amezimiwa kipaza sauti akiwa anahubiri kanisani kwenye kuchangia ujenzi wa kanisa la KKKT arumeru na kutumia muda mwingi kuhubiri siasa na kujisifia zaidi

Ndio wakamzimia mic, sijui alikuwaje baada ya kuzimiwa, pole mh mbunge.

SOURCE: Magazeti

Haya makanisa nayo ni njaa tupu kila siku harambee huku inawaalika wanasiasa tena wasio na maadili na wanafedha za kifisadi.
 
Sasa amebaki na lowassa kumzimia anatakiwa atoe pesa zetu aondoke mbona sadaka huwa hatuongei
 
Yaani wahuni kama lema, msigwa na afande sele wanaachwa halafu viongozi makini ndio wafanyiwe hivi? Masihara haya
Hawa ndo viongozi makini wewe....
 

Attachments

  • 1391055445469.jpg
    1391055445469.jpg
    38.9 KB · Views: 445
Mtajuana wenyewe na mizigo yenu mtu unachaguliwa tu naibu waziri matusi dharau na kupambana na watu yupo wapi Nchimbi Emanuel yupo wapi Olemedeyee yupo wapi Philipo Mulugo bado kwa magamba habari ndio hiyo
 
Baada ya kutoswa kuwa naibu wa waziri wa arthi.... sasa ni jimboni kwake

Nimesikia sasa hivi kwenye magazeti, mh mbunge huyu amezimiwa kipaza sauti akiwa anahubiri kanisani kwenye kuchangia ujenzi wa kanisa la KKKT arumeru na kutumia muda mwingi kuhubiri siasa na kujisifia zaidi

Ndio wakamzimia mic, sijui alikuwaje baada ya kuzimiwa, pole mh mbunge.

SOURCE: Magazeti

Umeandika huyu mheshimiwa alikuwa naibu waziri wa wizara gani vile, pia taarifa hizi umezisikia kwenye magazeti. Sina hakika kuwa ulikusudia kuandika hivi, nadhani ni smart phone ya ki-china imekunukuu vibaya!!!
 
Back
Top Bottom