Ole Medei Azimiwa Kipaza Sauti Kanisani.

Yaani wahuni kama lema, msigwa na afande sele wanaachwa halafu viongozi makini ndio wafanyiwe hivi? Masihara haya

Buku saba bana! Unaleta hata yasiyohusika!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Umeandika huyu mheshimiwa alikuwa naibu waziri wa wizara gani vile, pia taarifa hizi umezisikia kwenye magazeti. Sina hakika kuwa ulikusudia kuandika hivi, nadhani ni smart phone ya ki-china imekunukuu vibaya!!!

Wee umevurugwa kweli, nashukuru ujumbe umeupata.
 
angalau Arumeru wameonyesha kwa vitendo, tunaongea mno zidi ya kutenda kwamba hakuna kufanya siasa ndani ya majengo ya ibada; pengine na wengine watafuata....!
 
...mawaziri,mizigo,chama chakavu,mawaziri wamedumaa loooh....!!
 
Binafsi nalipongeza Kanisa kama habari hii ni ya kweli.

Ni kweli ndugu. mi naishi jirani na hilo kanisa kijiji cha sekei ila ilikuwa si ujenzi ilikuwa ni uzinduzi wa usharika na sakata la kumtafuta aliezima zinaendelea ila cha ajabu tetesi zinasema aliyezima ni ndugu yake na mwenyekiti wa uvccm arusha, nasikia medeye badala ya kuingea mambo yanayohusu uzinduzi huo yeye akawa kama anatafuta huruma ya wananchi kwa yaliyompata, na hili ni tukio la pili sasa baada ya lile la waumini kutoka nje kule kijenge mwaka jana baada ya medeye kutaka kugeuza madhabau kuwa jukwaa la siasa
 
Hii habari ni ya uongo na uzushi mtupu.

asante kwa ufafanuzi makini, pole ole medei kwa kero hiyo.
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Baada ya kutoswa kuwa naibu wa waziri wa ardhi.... sasa ni jimboni kwake

Nimesikia sasa hivi kwenye magazeti,
mh mbunge huyu amezimiwa kipaza sauti akiwa anahubiri kanisani kwenye kuchangia ujenzi wa kanisa la KKKT arumeru na kutumia muda mwingi kuhubiri siasa na kujisifia zaidi

Ndio wakamzimia mic, sijui alikuwaje baada ya kuzimiwa, pole mh mbunge.

SOURCE: Magazeti

Hivi dogo mtu yeyote akigombana na Lema nawewe una bifu naye..........kila mara unweweseka tu! acha utumwa bado kijana piga kazi tunza familia.
 
uwe na busara kijana, sio kila mtu ni dogo na sio kila mwa JF ni kijana na mwanasiasa, nilichoandika ni nukuu ya magazeti, jiheshimu utaheshimika.
 
Ahayo homa sasa hivi..na suti zake km za makonda..hachoki kupita makanisani.
 
Sijawahi kusoma wala kusikia kama 'PILATO ALIWAHI KUALIKWA KWENYE SINAGOGI'
ni tanzania tu.
 
Back
Top Bottom