Mkuu Safari_ni_Safari ... vipi upo? .. sijakuona muda JukwaaniHata hiyo Abrams M1 ni ya kizamani. Sasa hivi kuna Abrams T-55 ambayo ni modern zaidi. Sawa nankufananisha chloroquine na Coartem.
Mkuu Safari_ni_Safari ... vipi upo? .. sijakuona muda Jukwaani
Mkuu hivi hiyo Ant tank missile inachagua what to attack and what not to? Na Hicho kifaru ni missile proof?Swali? ... kama AntiTank za Warusi za mwaka 1970 inaharibu Vifaru vya Wamerekani vya kisasa kabisa vya Abraham modern ... je vipi kama wakikutana na silaha za kisasa za Russia 2015? .. ambazo ndizo deadlier zaidi?
Haichagui. Ni sawa na risasi ya tembo si inaua hata binadamu? Abrams M1 ni special armor platwd tank ambayo ilitakiwa isidhurike na hizo missiles pamoja na IPDs. Ina spidi mpaka 72kphMkuu hivi hiyo Ant tank missile inachagua what to attack and what not to? Na Hicho kifaru ni missile proof?
Swali? ... kama AntiTank za Warusi za mwaka 1970 inaharibu Vifaru vya Wamerekani vya kisasa kabisa vya Abraham modern ... je vipi kama wakikutana na silaha za kisasa za Russia 2015? .. ambazo ndizo deadlier zaidi?
Hata hiyo Abrams M1 ni ya kizamani. Sasa hivi kuna Abrams T-55 ambayo ni modern zaidi. Sawa nankufananisha chloroquine na Coartem.
hizo abrams M1 ni za mwaka gani?Hata hiyo Abrams M1 ni ya kizamani. Sasa hivi kuna Abrams T-55 ambayo ni modern zaidi. Sawa nankufananisha chloroquine na Coartem.
Ngoja nimwite Nyani Ngube
bro, punguza bangi, hakuna abrams t-55. t-55 is an old soviet tank model. Was in service from 1946
kwani mmesahau vita ya Iraq jinsi makombora ya Scud yaliyowap tabu.tena kipind kile mfumo wa Patriot ndio ulikuw unatok jikoni lakin ulishindw kufany kaz mbele ya iyo kitu.wakasababish waisrael na wasaudia wakafa
hizo abrams M1 ni za mwaka gani?
Swali? ... kama AntiTank za Warusi za mwaka 1970 inaharibu Vifaru vya Wamerekani vya kisasa kabisa vya Abraham modern ... je vipi kama wakikutana na silaha za kisasa za Russia 2015? .. ambazo ndizo deadlier zaidi?
We Jamaa vipi ......kwanza huenda hiyo video yako ni fekero tu kama ilivyokuwa ile habari eti ya Warusi kuonyesha sijui parade yao kwenye kuta za White House.
Pili, hata risasi za gobole la vita vikuu vya kwanza vya dunia linaua sawa tu na risasi za AK 47 ya mwaka 2015.
Hivyo rudi tena na hoja kabambe la sivyo utachemsha tu kama ulivyochemsha hapo.
USA baby :usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2: