Old skul kali za Mamtoni

kama kuna mtu anataka pini za zamani ni kiasi cha kunieleza tu unazitaka kwa mfumo gani...
CD audio au MP3.
 
Hii ni special thread kwa wazee wa old skul kali za mtoni.1990s was an era of diversity. You want corny, turn on the radio and chances are you'll hear Pitbull, Lil Wayne and 50Cent shit. Thats corny.

Haya ma ol timers wenzangu mwageni.
Napenda version nyingine zaidi. Featuring KRS-One, mkuu nilibahatika kuwaona live club 911, Georgetown DC 1998. Akhsante kwa kunikumbusha!!
 
Last edited by a moderator:
My youtube is messing up!!
Lost boys - Renee (remix)
Gangstarr - Full clip.
Mobb Deep - Shook ones
Luniz - I got 5.
 
My youtube is messing up!!
Lost boys - Renee (remix)
Gangstarr - Full clip.
Mobb Deep - Shook ones
Luniz - I got 5.

Hapo unamzungumzia Guru sanasana na kijana wake Primo ...... jamaa nawaheshimu sana hawa...
R.I.P. Guru
 
"Hate Me Now" By Nas (ft. Puff)





Ahsante Asha.... kwa muda sasa nilikuwa nataka nafasi ya kukusikilizisha yule emcee wangu mkuu wa hiphop.... Guru wa Gangstarr.... leo umenikumbusha.....
Cheki na hii ngoma Moment of Truth.....
 
Last edited by a moderator:
kama kuna mtu anataka pini za zamani ni kiasi cha kunieleza tu unazitaka kwa mfumo gani...
CD audio au MP3.

Mie nahitaji za bongo flava oldxul za zamani za kina salehe jabri,suggu,sosb,hasheem dogo,Afro reign,GWM,The Diplomats,Kwanza Unit,Mr 4 wheel,Mashakshuta sauti ya miujiza(trak yao inaitwa ubandidu),WWA,Dola soul,Nyimbo za zaman za soggy(90's including nikisema need I need you too ft Unique Sisters),Wateule(Hip hop na ragga)
 
mmenikumbusha enzi izo naruka geti kwenda disco (GS), unapanga mito kama mtu kitandani na kufunika shuka wewe unasepa zako, mama anajua mtoto yuko ndani.
 
Nas ft Mobb Deep- Eye for an eye
Jay z- 22 twos
Full Clip- Gang Starr
Nas- New york state of mind
Nas Ft Mobb Deep- Live Nigga Rap
Rakim- It's been a long time
Boogie down productions-9mm goes bang
Big L- Ebonics
Rakim-Holy Are you
Mos Def- Ms. Fat Booty
Slick Rick ft Raekwon- Frozen
KRS-One: MC's Act like they don't know
GZA/Genius- Fame
Killah Priest: The offering
The Notorious BIG-Road to riches
LL Cool J- Doin it....................................................ngoja niwaache wanazi na hii kitu "You gots to chill" toka kwa EPMD
 
Tic tac - the underground soul
Mic phone check up - real hip hop - DAS EFX
Nori by neture, Wu Tang, Mobb deep, the trible called quest, Fugees, Tasha holiday, Michelle Vyette.....ngoja niendelee kuwakumbuka
 
"Hate Me Now" By Nas (ft. Puff)




Dah, e bana AshaDii unatishaaaa!!! nakumbuka kulikuwa na ile ki2 Pumps and Bam ya Brand Nubian(cjui kama nimepatia, manake wakti ule english yenyewe ilikuwa bado ya primary school) , ambayo nazani MC Hammer nae akaja kuigonga vilevile!!!! Halafu kuna ile ki2 Jump Around, nazani ya Cyprass Hill wale kama sio House of Pain!!!! Jump! Jump! Jump! Jump!! Jump around! Jump Around!!!! Hiyo ikija mazeyaa disco vumbi ni vurugu mtindo mmoja......joto lote la Dar lakini unakuta bado mtu katinga ndonga moja ina kama kilo tatu hivi huku una bonge la winter jacket ambalo unahakikisha OPP halitoki kichwani!!!! Dah, kweli Hip Hop is Dead!!!! Halafu kuna ngoma moja hivi; ndo vile tena english yenyewe ilikuwa ya shule za uswahilini, kwahiyo sikumbuki ilikuwa inaitwaje na nani waligonga lile dude......ninachokumbuka ni kwamba, washikaji wanachana, halafu kuna mistari inasema WEUSI SHULE na kuna kibao(video yake) kina hayo maandishi!!!! Ilikuwa ni full mzuka, wakati ule kila dent nae ni MC!!!! Na hiyo ilikuwa ndio tiketi ya kuchukulia watoto wa kishua wa Oysterbay na masaki!!! Nakumbuka na mimi nilikuwa na mistari yangu, kuna sehemu inasema

"Mshikaji maskani kawa pusha,
nami nachakarika deal lo kulizungusha,
nahangahika, dar mpaka arusha hakuna jipya,
narudi morogro mpaka dom; kote msoto!
Maskin,
tumekosa nini,
kama hatuchakariki
ndipo natamani kwenye safari
nikutane na osama anipe deal
deal ni-test zali
deal ni deal, usiniulize deal gani choko
ukija zua sokomoko mimi simo,
shauri yako, utavyokumbwa na vipigo
mi n'takupa hi,
wakati upo kwenye mikono ya FBI
kudadeki wallah
kumbe kweli mambo moto
mshikaji mpenda dezo kawa choko
choko kinoma noma hakuna tena
na machizi wamemnunia, nuna nuna
na wengine wanadunda, danda danda
mpaka kwa rais anasema tufunge mkanda
tushafunga mpaka tundu la mwisho,
lakini bado,
mikanda inatupwaya
ingawa mzee mkapa tundu la kwanza
mkanda unambana!
noma, kinoma nom
masela hatuna noma
sela nachakarika
sometime nazungusha ki-uhakika
mbagala mpaka tandika
tmk, mpaka dongo
kote mambo c mambo
sometime nashika midako
nakupambana na masoja wanoko
wanataka nikate mishiko
nami nabaki mweupe mtupu
upuuzi mtupu'
sela nyonga dupu
tembeza kwa washikaji
hoyaa mjuba,
mwenge huvuki kijiji'
piga pafu mbili
pandisha stimu tafuta deal
deal ni deal hata kamali
cheki kwa mbali kuna askari
asilete za kuleta'
mweleze kila mbongo anatafuta
na kama karata tatu, na bingo yote mamoja
akili inanituma kujenga hoja
ya mshike mshike
mzabe mzabe
na masela ndani ya zege
hakuna wanachopata ilimradi njaa wagange
kimbindembinde bora liende
na kifo ni kifo hata cha mende
sasa nini unangoja
beba kideo twende............................................wakti ule TV tulikuwa tunaita video...lol



dah!!!!!!!!!1
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nasikia kuna msanii anaitwa Mahino teh teh na mwingine anaitwa Mohombi...

Dah sorry kwa yote ila hapa twawazungumzia ngoma ngumu kama Daz efx, onyx, lord of the underground, Dr Dre, mobb deep, Lost boys, krs1, kool G. Rap, Naught by nature, 213, pac, the firm, wu tang, luniz, nonchalante, bone thugz, NWA na we gine wengi bila kulisahau Hiphhop Mogul nguli Marion Suge Knight...

Bila kuwasahau
Crag Mack, Father MC, Dog Pound, Scarface, Diagable Planet, Ice T, Public Enemy, MC Hammer, Heavy D (R.I.P), Criss Cross,
 
Back
Top Bottom