Old school: Nyimbo za R&B na Hiphop za Kingereza zilizotamba

Maajabu leo umenikumbuka kwa mazuri mpaka nimeogopa unampango wakunikopa nini???

Kumbe unajua miziki nilijua ni taarabu tu ndo unajua.

Ha ha haaaaaaaaa
Yaani wewe Chuma gumu huishiwi maneno.. haya weeee
Unapenda kunitajia pesa mwana kijiji mimi.. ungetaka kupata zaidi kwa riba.. si ungejitangaza humu.. looo haya gumu wewe.. kula bata mjini.. eti kukopa.. ningekuwa sina dini ningekufanya mbuzi kabisa.
 
Ha ha ha usiyempenda hafi,hawi, mbuzi, hawi kuku tutabanana hapa hapa mpaka ujute kunijua
 
Back
Top Bottom