Siku za disko ilikuwa ni special; kula kwa macho by 0 distanceNakumbuka sie korogwe girls wavulana wetu walikuwa watu wa Tanga School,nao walikuwa mafundi na mikono yao migumu!,tulikuwa tunaazima anzia gauni mkpaka viatu toka kwa watoto wa walikuwa nazo!
Nadhani unamkumbuka Mwalimu ... mama Futa. Acha kabisaHa ha ha; kijana kumbe ulianza siku nyingi
Kwahiyo alikuwa anamwibia mwalimu mwenzake Futa? Ila Pyuza kama ni kukanyaga amewakanyaga sana mabinti. Hivi sasa yuko MarekaniHa ha ha like kilikuwa kifaa ila naskia yule ticha handsome Mr.Pyuza alikuwa mdau pale kiaina.
Hahahahaaa.... LOLAfu ule mtindo wenu wa kuchangishana pesa kuwapa ma DJ ili wapige slow music zaidi ninyi mkiita Blues - haukuwa mzuri.
Nakumbuka lile song la " should I say yes...should I say noo" linapigwa 30min duh baada ya hapo ni nyaka nyaka
Jamaa alikuwa slow mover & silent killer ; akiingia class anatuambia "nimesoma madarasa hadi wakaniambia no class aheard; sisi tunamwona bonge la msomi hatari!! he was good ila kwa totoz hatareeKwahiyo alikuwa anamwibia mwalimu mwenzake Futa? Ila Pyuza kama ni kukanyaga amewakanyaga sana mabinti. Hivi sasa yuko Marekani
Mkuu we ni hataree, bob Senge alivoona muda umeisha akatinga disko kamnyanganya DJ kisemeo " Mimi ni 2nd master wa shule hii nasema disko nimelifunga rasmi" aaah mzee watu bado ni zero distance as if nothing had happened; " narudia tena Mimi ni 2nd master wa shule hii....." watu kuona ivo isiwe taabu ni kutoa gari upepo ha ha haKiongozi! Kiongozi! Kiongozi!
Umenikumbusha mbali sana! Inawezekana tulisoma darasa moja.
Kampeni ya kulitoa upepo lile gari nami nilihusika.
Mwalimu Mpande nusura atukamate. Ingekuwa soo nakwambia.
Nakumbuka Sakata la kuingizwa pale uwanja wa tenis kwenye foleni ya waalimu wataalam wa kutandika bakora.....
Hapa Bob Kasenge, Hapa the killer Munuo........ Acha kabisa!
Sitasahau ile siku. Siku tulienda kwa show ya drama... nikakutana na mrembo wangu tukaongea sana. Ile tunarudi usiku kwenye Katara kademu kangu ka form two six kakanigomea kukabamba kwenye giza... kalinisusia...kakilalamika eti nimekaona "pori" nikajishaua na toto la Kibosho girls. DahMkuu we ni hataree, bob Senge alivoona muda umeisha akatinga disko kamnyanganya DJ kisemeo " Mimi ni 2nd master wa shule hii nasema disko nimelifunga rasmi" aaah mzee watu bado ni zero distance as if nothing had happened; " narudia tena Mimi ni 2nd master wa shule hii....." watu kuona ivo isiwe taabu ni kutoa gari upepo ha ha ha
Cha ajabu mabinti hawakuchukia tukakaa nao pale karibu na uwanja wa tenis tukipiga soga tukisubiri tairi likazibwe town...
Shule gani hiyo; sera za wakati huo like nipe jina na anuani yako tuwe tunaandikiana baruasisi shuleni kwetu disco ilikuwa mwisho saa 12, then mnaenda kula mkumaliza mnaenda Prep. na mwalimu alikuwa anakuja kukagua mabwenini kama hakuna watu. hapo prep muda wote ni kusimuliana tu jinsi manjemba yalivyokuwa yanachemsha kwa kumwaga sera
Hako mpaka leo ndo kwanza kako mwaka wa pili CBEUlikuwa ticha wapi mmmhh,
Ulikuwa kundi la wagumu siyo!!Wao superb. Mnanikumbusha DABANGA CAMP -Minaki kwa O'Level na Old Moshi na Mzumbe kwa A'Level. Miye kazi yangu ilikuwa ni kuuza sigara ndani ya ukumbi hakuna kucheza wala mama yake kucheza, ni ujasiriamali kwa kwenda mbele. Blues unajikumbatia pekeyako hakuna cha mtoto. Aaaaaaaaaaaaaah! ni long time and funny