Ni kati ya Sekondari kongwe hapa nchini, wamesoma watu wengi maarufu na vilaza! Nimesikitishwa kutukuiona kwenye orodha ya Prof. Ndalichako.
Hii shule ipo kwenye hali mbaya sana. Majengo yemechoka (mabweni, madarasa, bwalo la chakula na zahanati), miundombinu yake imechakaa sana.
Serikali, ijaribu kupitia karibu shule zote za umma, hasa zile zilizokuwa kwenye mashirika ya dini, halafu serikali ikazitaifisha, na kushindwa kuzitunza resources zake, kama walivyofanya wamiliki wa awali. Zipo katika hali mbaya sana.
Kama ikishindwa, ni bora wakawarudishia wamiliki wa awali, kama walivyofanya Forodhani (sasa shule inaonekana).