Old is Gold







Waliosimama...Mohamed Bakari Tall,Daudi Salum,Ismail Mwarabu,Aloo Mwitu,Abdallah King Kibaden na Athumani Mambosasa...waliochuchumaa<wbr style="color: rgb(51, 51, 51); font-family: 'lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif; line-height: 18px;">...Willy Mwaijibe,Abdallah Mwinyimkuu,Lucas Nkondola,Omar Mahadhi bin Jabir na Omar Shaaban Gumbo
 
Kikosi hicho ndicho kilichochukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 1986 wakiwa uwanja wa Taifa

Mstari wa Nyuma (Kutoka kushoto ) - Kevin Haule, Hussein Zito, Karabi Mrisho, Godwin Aswile, Ally Kimwaga, Danford Ngesi, Mbwana Makata,Athuman Juma,Ramnik Patel"Kaka"


Mstari wa Mbele ( Kutoka kushoto ) - Fadhili Hembe, Richard Lumumba, Yusuf Kamba, Selemani Matthewa, John Alex, Daniel Chundu, Aston Pardon.

 
Hapo kweli ni zamani, lakini hiyo pasi inaelekea ni ya enzi hata kabla ya wakati huo!
 
Hili mbona basi la juzijuzi tu, Cheki namba zake, na watu waliovaa yeboyebo za kisasa
Mabasi mengi ya aina hii yalikuwa yanamilikiwa na Vijiji vya Ujamaa, likiwemo mojawapo lililoitwa MBOGO-ULENJE!
 
Kuna pasi kama hii dobi mtaani kwetu anaitumia, mtoto wa darasa la pili hainyanyui kwa jinsi ilivyo nzito!

 
Wazee wenyewe wanakuambia imetengenezwa na chuma cha pua kutoka Ujerumani. Wanakuambia hiyo ndio inayo nyoosha vizuri koti kuliko pasi ya umeme
Kuna pasi kama hii dobi mtaani kwetu anaitumia, mtoto wa darasa la pili hainyanyui kwa jinsi ilivyo nzito!

 
hili mbona basi la juzijuzi tu, cheki namba zake, na watu waliovaa yeboyebo za kisasa
mabasi mengi ya aina hii yalikuwa yanamilikiwa na vijiji vya ujamaa, likiwemo mojawapo lililoitwa mbogo-ulenje!

hahaha hii picha ya enzi za jk we huni camera ilivyo clear lol!
 


View of Mbeya, Mbeya, Tanzania, 1936.
Description
"Unser Bezirksort Mbeya." ("Our district capital Mbeya."). Round thatched huts. The huts are regularly arranged. In the background a mountain. In the foreground a group of people standing on a pathway.
Theodor Tietzen (1893-1973) was a missionary of the Herrnhuter Brüdergemeine. Having married Hildegard Marie Lenz in 1921 and served in South Africa... (West) from 1922 to 1927, he moved to East Africa, where he served in Mbozi till 1929 and in Utengule till 1939. In the 1950s he returned to South Africa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…