Old is gold-hizi nyimbo ni kali all the time

Nikumbusheni jamani! Kuna ile "should I say yes or should I say No" niya nani vile?! New shoes au ni nani?! Naitafuta sana ile single.

Ni Nu shoes hao mkuu,
duh hiyo ngoma uipatie kwenye kinu cha ukweli walahi utasahau hata shida zinazosababishwa na hawa wenzetu wa lumumba!
 
hizi nyimbo siachi kuzisikiliza kila siku zinatia hamasa ya kuzisikilizaa..
 
Always- James Ingram
Sexual healing- Marvin Gaye
Jolie Taxi- Venessa Paragym
 
Pia vipo vibao hivi:
- Hold you tight : Karyn White,
- Don't be cruel: Bobby Brown,
- Point of No return
- Fantasy: Black Box,
- Every Little Step: Bobby Brown,
- Superwoman: Karyn White.
 
Hahaha. Naupenda huo wimbo na nimeshaona video yake several times ila sijui kaimba nani. Dah!
Nikumbusheni jamani! Kuna ile "should I say yes or should I say No" niya nani vile?! New shoes au ni nani?! Naitafuta sana ile single.
 
Nyimbo zote za tina turner, bob marley, chaka demus and pliers, jim reeves, whitney houstan, boyz 2 men, backstreet boys, na huyu babu alieimba the gambler na yule mmama anapendaga kuimba nae. Yaani hapo feels like home. Sweet memories.
 
Mkuu, GOOGLE bana, kila kitu unakipata YOUTUBE siku hizi. Kama hukipati basi una bahati mbaya.......



Ngoja nikupe sasa kitu cha UHAKIKA ili kweli usikie wimbo ambao ni kiboko maana umetungwa na Babyface na aliye-produce ni Louis Silas Jr ambaye ndiye aliyekuwa Producer na Owner wa NEW EDITION ya akina Bobby Brown.



Miss very much SOULTRAIN
Nikumbusheni jamani! Kuna ile "should I say yes or should I say No" niya nani vile?! New shoes au ni nani?! Naitafuta sana ile single.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wapenzi wa Gregory Isaacs, nyimbo zake zimepigwa upya na kuna CD nzima ya nyimbo zake. Zilizonifurahisha kwenye hiyo CD ni huu wa TUNE ON ulioimbwa na Alaine na Busy Signal kashusha HARD DRUG.

https://www.youtube.com/watch?v=pz390sXUEe4

https://www.youtube.com/watch?v=HjDYNTKl17M


Na kwa Wapenzi wa Koffi olomide, kuna huyu dada wa Band yake aliziimba vizuri sana nyimbo zake...
https://www.youtube.com/watch?v=zak9oJD-KbU

Bibie Cindy alijitahidi kwelikweli kuuimba na Band walipiga vyombo kama ilivyo kwenye CD Oroginal....
 
Aaah Sikonge umenikumbusha koffie olomide na jb mpiana. Show zao zinabamba hadi leo. Stress na uchovu wa mwaka unatoa kwa one night.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana King'asti. Ngoja nikuwekee na hii Concert yake LIVE yaani JB Mpiana....



Hapa chini wakiwa bado WASHAMBA na Masikini. Sijui kama utaweza kumfahamu JB Mpiana na Werrason. Ambaye hajabadilika hadi leo utamtambua ni Alain Makaba, huyo Mulato Mpiga Solo....

https://www.youtube.com/watch?v=lagiki_xlJ8
Aaah Sikonge umenikumbusha koffie olomide na jb mpiana. Show zao zinabamba hadi leo. Stress na uchovu wa mwaka unatoa kwa one night.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom