Old is Gold: Good music never dies

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Messages
834
Points
1,000

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2011
834 1,000
Dang,he was amazing na vituko vyake halafu hizo panties kama kwenye U Can't Touch This mi hoi!!!..leo nimekaa na kukumbuka hizi songs, nimesikiliza na kucheza acha tu!!..Music is such a beautiful thing!!!..
Mimi nakereka vile uhuni, dawa za kulevya na kamari huwazidi na kufulia. Huyu Hammer sijui kama alirudi kwa mstari.Alufulia mbaya kwa kamari.Sijui ana hali gani.

Similarly, Boby Brown, fulu unga.Kamharibu mkewe na mtoto mpaka wamerest in peace.

Lakin ukirejea kwenye vipaza sauti, salute

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Messages
834
Points
1,000

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2011
834 1,000
Jamani, binafsi nimechelewa sana kuuona huu uzi. Kwakweli oldies ni ugonjwa wangu. Sasa nionavyo ni kama uzi hautendewi haki kabisa.

Ninashauri walau tuwe na utaratibu wa kuzichambua ngoma na wasanii wake.Yani kujua kama msanii X yuhai au la, alivuma na single gani, mwaka gani au nini special tunapaswa kujua n.k.Tukumbushane na DJ s na dancers waliowika zama hizo, kina marehemu Black moses na wenzao. Tunabadilishana uzoefu. Mimi nayafeel sana haya madude.


Asante na hongera aliyeanzisha na waasisi wengine wa uzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Messages
834
Points
1,000

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2011
834 1,000
Jamani msaada kuna wimbo nautafuta ila naufaham kiitikio kidogo ni " dance dance yeeeh .......... collection" siufaham hata jina ila ni flashback flan hv

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeimbwa na Sam Fan Thomas

Ninaamini nimelenga mlemle! Jiridhishe kwa kiunganishi hiki hapa chini

 

Forum statistics

Threads 1,389,443
Members 527,931
Posts 34,025,570
Top