Old Bongo Flava



Mkubwa salama

Hizi nyimbo zipo na ilikuwa nizipandishe

Kuna watu wanakwaza sana hapa.
 
Naweka kambi hapa, naomba nyimbo hizi kwa leo:
1. Joselyn- Perfume
2. Langa- Matawi ya Juu
3. Pig Black ft Mr Blue- Niskilize mimi
4. Daz Nundaz- Tangazo Maalum

Shukrani wahenga wenzangu.
cc: zacha
cc: Bufa

Mkubwa

Kuna nyimbo ziko tayali hapa na

zingine tafuta ule uzi wa Bongo records hits.

Niliweka pale
 
Huo uzi uko wap.. Nimeutafuta siuoni naomba link
Mkubwa

Kuna nyimbo ziko tayali hapa na

zingine tafuta ule uzi wa Bongo records hits.

Niliweka pale
 
Achana nao hao, ukiona hivyo ujue hao sio wapenzi wa muziki...

Kama hizi za sugu zipo naziomba..

Itikadi
Mademu
Itikadi rmx
Hali yangu
Afande anasema ft Afande Sele
Mkubwa salama

Hizi nyimbo zipo na ilikuwa nizipandishe

Kuna watu wanakwaza sana hapa.
 
Wakuu naomba ruhusa kujenga kibanda ktk uzi huu adhiim
 
Zacha Nipandishie.

1.GK - Mama
2.Mac D ft Unique _ Bounce(Usiku bado mchanga)
3.Dudu Baya(Double G) - Penzi Bila Fikra

Nilikuwa nazo kuna bwege flani aliformat mashine akaweka OS kwenye Drive yenye Zaga.
 
Hahahahaaa nimekukubali kuna wimbo mwingine wa

Sharp Shooter - Ubandidu
Afro Reign ft Hashim Dogo - Saa za kazi
John Mjema - Spare Tyre
Da Joh ft Bad Spark - Da Jo Da Jo Tumekukubali Inspector anazimia na yeye hahaaa
Mad Max ft Queen Darleen - Vitu Adimu.
 
Da jo mtoto wa kigambonino
Hahahahaaa nimekukubali kuna wimbo mwingine wa

Sharp Shooter - Ubandidu
Afro Reign ft Hashim Dogo - Saa za kazi
John Mjema - Spare Tyre
Da Joh ft Bad Spark - Da Jo Da Jo Tumekukubali Inspector anazimia na yeye hahaaa
 
07
 

Attachments

08
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…