Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Kila la kheri kwake.
Jamaa kiwango chake ni kukipiga Ulaya. Hapo Azam naamini ni njia tu; umri pia bado unaruhusu.
Mshambuliaji lulu wa klabu ya Simba ya jijini Dar, Emanuel Okwi amejiunga na Klabu ya Azam
Taarifa za kuaminika toka ndani ya Simba na Azama zitabainisha hivyo!
Kama niya kweli hayo basi kwa mtani kunawaka moro.
Ningekuwa mshauri wa Okwi ningemwambia atafute agent mshap akakipige ulaya, ukweli kiwango cha Okwi ni kikubwa
Kama ni hivyo,Simba Kwishineeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
Simba wananiboa. Wanarusu vp staa km huyo kuondoka kirahisi?
Simba wananiboa. Wanarusu vp staa km huyo kuondoka kirahisi?
Hah hah hah hah hah! Simba kwishney!!! Wapi Crashwise!
simba ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo hata bila okwi..umesikia matusi ya ngasa jana..hata hivyo Okwi bado ana mkataba na simba wa miezi zaidi ya 7..
jirani mbona mnavyotuchukulia wachezaji tunauchuna tu..