Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 5,527
- 7,121
Marko 12:17
"...Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu."
Mimi hata kabla ya Oktoba, yaliyo ya Mungu ninayatiki ✅
"...Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu."
Mimi hata kabla ya Oktoba, yaliyo ya Mungu ninayatiki ✅
- Yesu Kristo ni Mwokozi wa ulimwengu ✅
- Damu ya Yesu inasafisha dhambi zote ✅
- Wokovu haupatikani kwa matendo, bali kwa neema ✅
- Biblia ni Neno la Mungu, ni tamu kuliko asali ✅
- Msalaba ni msingi wa upatanisho kati yetu na Mungu ✅
- Roho Mtakatifu ni Msaidizi na Mwalimu wetu ✅
- Kanisa ni mwili wa Kristo duniani ✅
- Jina la Yesu lina nguvu ya kufukuza mapepo ✅
- Yesu atakuja tena kwa utukufu ✅
- Wanaomwamini Yesu wataurithi uzima wa milele ✅