Yaani hapo wanao tick ndio manyumbu wenyewe ndio maana nyumbu na tiki vipo pamojaWamekuja na hiki kitukoView attachment 3361685
Yaani hapo wanao tick ndio manyumbu wenyewe ndio maana nyumbu na tiki vipo pamojaWamekuja na hiki kitukoView attachment 3361685
POPOMALISMWamekuja na hiki kitukoView attachment 3361685
OKTOBA TUNATIKI sio uanaharakati wa NO REFORM. Huo ni usheria na ukanuni wa kwamba Kila baada ya miaka mitano kuwe na Uchaguzi Mkuu. OKTOBA TUNATIKI means miaka mitano ya kikatiba imefika na tukiwa hai INSHAALLAH kupiga kura ni takwa la kisheria ambalo lazima litimie...INGETAMKWA AGOSTI TUNATIKI hio ingeleta MUSHKEL. Sasa hiyo NO REFORM ipo kwenye KIFUNGU Cha ngapi Cha katiba na kanuni zilizopo. Namaanisha OKTOBA TUNATIKI imehalalika kikatiba na is of no compromise. No Reform No Election ni uwendawazimu ambao matibabu yake hapa nchini hayapatikani.Daima HIARI YASHINDA UTUMWA...
Chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary!
Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick) imeanzishwa baada ya moto wa NO REFORMS NO ELECTION fukuto lake kugusa mfupa.. Muda huu sijui imefia wapi huko
Kilichobaki ni wazalendo wanajiuliza kati ya oktoba tunatiki na chaumma ipi tuzike hapahapa ipi tusafirisheView attachment 3361286
Lisu aachiliwe ili kampeni zianze sasaDaima HIARI YASHINDA UTUMWA...