Okoeni uchumba huu - msaada

Okoeni uchumba huu - msaada

Jamani jamani jamani kweli peponi TUTAINGIA WACHACHE..
kwa dunia ya sasa, mwanaume anabalehe akiwa na miaka 13, tana yupo darasa la 5
kisha anakaa tuuu hadi afike umri wa kuoa.. bila kufanya tendo pre mariege sex!!!! haiji.. hata humu wengi hawajaolewa wala kuoa lkn wanajua kila kitu juu ya sex kuliko hata wenye ndoa.. yaani mnagegedana to the maximum..
wanandoa wana staha.. yaani huwezi kumgegeda mkeo kama unavyo mgegeda demu wa mtaani tu. au sijui kwa wanawake kama una piga sarakasi kwa mumeo za kufa mtu kama unavyompigia buzi unaetaka kumchuna..
so tendo la uchumba lipo na pia kuna la PRE MARIAGE
 
Desidery,
Sina ushauri zaidi ya kukwambia watafute madaktari wakupe ushauri wa kitaalamu. Yawezekana hata si tatizo kabisa na halihusiani na kupata au kutokupata mtoto.

All the best!!

PP
 
Uchumba wenyewe hauna issue na ufe tu.
Hivi kipengele cha "tutakua wote kwenye shida na raha" bado kipo tu?
Mi naona kile cha "hadi kifo kitutenganishe" kiongezewe "shida pia" na "nikiamka asubuhi moja nikijisikia"

Kweli kwa sababu vitu vingine ni minor kabisa bado watu watamkataa..akaoe malaika basi! Hivi huyo yuko perfect sana eh? Ukute binti wa watu kuna issue kibao kaziona kwa jamaa ila kaamua kupotezea.
 
Nimependa zaidi hapo uliposema "wakati wanshiriki tendo la uchumba" Kweli secta ya mapenzi imeendelea sana
 
Back
Top Bottom