nimepata mwanga kidogo...so anaekua na maji mengi ndo anakua wa baridi si ndio?
ndani ya K**a hana jotowabaridi ndo anakuwaje??????
Nilishawahi kukutano nayo hii mara 2 hivi japo ni rare sana. Nikachukulia kirahisi tu sikuwahi kuwaza na ukizingatia nilikua napita tu. Ngoja niifanyie literature review.
Tuokoe kivipi, Ndo mkome testing b4 marriage,,,,AKAMUOE UYO WA TUMAINI
noo nooo noo sijamaanisha
hivyo.. nina amaanisha, kuna wenye joto, kuna wenye mnato, kuna wenye
kupwaya japo hapo inategemea na size ya men.. kuna wengine wakavuuuu
inakupasa kutumia muda zaidi kumuandaa ili awe na majimaji... kwani wewe
huwa inakuwaje mnapoanza? jamaa huwa anakwambiaje?
no mercy hapo kaka piga chjni kachukue mwengine...wao usipowatom.ba vizuri wataenda gawa nje sasa yeye aseme ukweli tuu bby u cnt f.uck so am leaving u before i cheat.
Of course ndoa ni tendo la ndoa, otherwise si wangeoana wanawake watupu au the opposite au kila mtu angebaki kwa Baba na Mama yakeNaombeni kuuliza wajameni! Hivi watu wanaoana kwaajili ya sex eeeh!
Kwanza naomba niwatakie nyote heri ya mwaka mpya..
Tumshukuru sana MUNGU kwa kuuona mwaka huu
Sasa jamani katika likizo hii ya mwisho wa mwaka sikwenda kokote, nilikuwa hapahapa Dar..
ila nilibahatika kutembelewa na ndg na jamaa zangu kiasi cha kutosha ..nashukuru sana..
mmoja kati ya jamaa zangu (Binamu yangu) alikuja na kunitaka ushauri. kwamba afenyeje
maana mchumba wake anayetaka kumuoa maungo yake ni ya baridi. yaani wakati wanashiriki tendo la uchumba, yule dada ni wa baridi kabisa..
kwa kweli kaniomba sana msaada wa kimawazo.. ameshapeleka barua kwao,
anasema wameanza mawasiliano miaka mi3 ilopita, ila tendo wameanza mwaka jana mwezi wa nne..
anasema alishawahi kuwa na dada mwingine wakati yupo Tumaini Unvsty, wakishiriki tendo, dogo alikuwa anaweza kwenda hata round 4-5... lkn kwa huyu akijitahidi ni 2 tu.. yaani bariidiiii.. ingawa anadai mchumba wake hujitahidi kuwajibika kunako 6x6
sasa anajishauri sana..
Naombeni sana busara zenu na ushauri nimshaurije bw. mdogo?
je kuna tiba? au kuna aina za vyakula? na je hili ni tatizo?
Kwangu ni suala gumu kiasi..
ahsanteni
BiDada Aanzekutumia asali safi/asilia asubuhi na jioni kabl ya kulala.... na vinywaji kama Coffee/green tea nk... Hongera na Maisha muruwa.Kwanza naomba niwatakie nyote heri ya mwaka mpya..