Usiweke oko...labda kama tairi umeshalichoka sana..
Ukiweka kwenye tairi za mbele gari usukani unayumba yumba ukikata kona barabara ya lami.
Baadae inaumua matairi yanavimba na kupinda pinda..
Naongea nikiwa na uzoefu wa hili..
Weka kiraka kwa ndania au piga tambi