oil sumu A.k.A morden teacher from MKWAWA(MUCE)

Status
Not open for further replies.
mimi ni mwl nisiyependa ualimu ila mkopo na ajira zimearibu ndoto zangu napiga kisw/ ps
Unaponda baada ya kupata ajira, huna ndoto zozote acha uongo maana kama ungekuwa nazo ungesha sepa kwani waonekana bado ni kijana wa miaka ya 20's
 
msijari mi mwenzenu nasoma sheria au law au llb nipo mwaka wa pili apa udsm kwaio ni dream come true...so nawatakia mafanikio mema nyie mr.a for apple, b for ball na c for cofee..

hahahaha
d for..
F.. For
iasee
 
Haya nyie dharauni tu ualimu wakati kuna wenzenu kibao wamesoma hizo fani nyingine na wanalipwa laki 3.
 
ukileta usumbufu tutakushughulikia dogo, karibu.


Haa wewee.....me mwenyewe kuenekana skul itakuwa mbinde knoma may be nikiwa na zamu.....madogo nikiwapigia civics leo nawaambia kasomeni magazet na msikilize taarifa ya habari tuu inatosha.... nikiingia class full kupiga story then natimua zangu...... daa raha knoma..... mwisho wa mwezi huyoo... nadaka vyangu mapema.... umeona eeh... we yakomalie hayo madogo uone yatakavyo kuchana nyembe...
 
I'm moaning for the up coming generation, that they're gonna pay for this one's mistakes!
 
Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.
 
kutoka moyoni ualimu si upendi bt pamoja na kuwa naxoma ualimu never sinto kaa nikashika chaki

nakuhurumia sana, kawadanganye wa kwenu kijijini. WENGI WALISEMA HIVYO, SASA WANAHANGAIKA NA BRN. kwa taarifa yako utapangwa kijijini kabisa ndo ukome. Nadhan ni bora uwe mpole, wakati ukifikiria ufanye nini inakubid USHIKE CHAKI. KAMA HUTAKI CHAKI UMEFUATA NINI KWNY EDUCATION? NI DHAHIRI HAUKUWA NA VIGEZO VYA KUSOMA MAMBO MENGINE, Tuliza ma------ mulugo apapase
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom