Gajungi JF-Expert Member Sep 4, 2011 257 83 Feb 1, 2019 #1 Habari wadau. Fundi ameshauri nibadili engine oil pump, ipi itanifaa na ni bei gani? Nimeambiwa ya Toyota ni kama laki 1.is that right?
Habari wadau. Fundi ameshauri nibadili engine oil pump, ipi itanifaa na ni bei gani? Nimeambiwa ya Toyota ni kama laki 1.is that right?
RugambwaYT JF-Expert Member Jan 11, 2014 1,382 1,851 Feb 1, 2019 #2 Ndio bei zake. Tafuta used iliyo kwenye hali nzuri.