Oil prices is over $100 a barrel!!! Eh mmungu tusaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oil prices is over $100 a barrel!!! Eh mmungu tusaidie

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mdondoaji, Feb 1, 2011.

 1. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hapa tz hadi tufanye kama tunisia na misri ndio kitaeleweka:A S thumbs_down:
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Dah!! Kwa kweli tunakoelekea ni kubaya zaidi!!!
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Effect za maandamano ya egypt!
   
 5. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  This is what they were up to.Walianza na Tunisia kama kiini macho.In fact they were aiming at Egypt ili waweze kupandisha bei ya mafuta.Sisi mafuta yetu yanapitia Suez Canal kwa nini nayo yapande bei?The world elite is looking for money for some shadowy business!

   
 6. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  "Effect za maandamano ya egypt!"This is cheap thinking.Kwani yameathiri vipi upitaji wa mafuta Suez Canal,si bado yanapita.Supply bado iko palepale haija kuwa disrupted hata kidogo.The reasons they are giving are too cheap for an intelligent mind to accept.Vurugu zilizoanzia Tunisia na hatimaye sasa Misri were aiming at just that,raising oil prices!Make no mistake about it, vurugu hivi ni instigated. The elite are looking for money for some stupid business!
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Speculators at work! Washenzi sana hawa, mbona supply ziko palepale, hata huko Egypt mafuta yao bado yanatoka kama kawaida na Suez Canal inafanya kazi?

  Hivi bei zilishaanza kupanda na ndio zitapanda zaidi, sie wa nchi zinazo-import bidhaa karibu zote, hasira zetu tutawasulubu viongozi wetu na sijui kama wana majibu rahisi kwenye hali kama hii???!!!
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hawa ni speculators wakuu wanaofanya kazi kwa kupitia financial derivatives. Sasa wanapandisha bei za mafuta ili wapate faida.
   
Loading...