Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,934
Yaani msaada wa milioni 51 unapokelewa nufanya WaTa Rais! Mkulu anatuaibisha kabisa na kutufanya WaTZ tuonekane so cheap. Kiasi hicho cha pesa kwangu mimi kingepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala na si Rais.
mkuu hapo kwenye bluu ni kingazija hicho?
mmhh.......mwanawane!!!!
Hivi hii picha wamepanda watu wangapi? au ni macho yangu yamekuwa ya kichina? maana naona kama kuna miguu ya kulia miwili mmoja kwenye paddle na mwingine chini au?? Presidaa alipakia mtu mgongoni???
Nafikiri ndicho kimegeuzwa kuwa cha kutengeneza madawa pale mwenge ...shelys!Nimelikumbuka tangazo la baiskeli. Hivi kiwanda chetu cha baisikeli kipo? kinafanya kazi?
Hivi hii picha wamepanda watu wangapi? au ni macho yangu yamekuwa ya kichina? maana naona kama kuna miguu ya kulia miwili mmoja kwenye paddle na mwingine chini au?? Presidaa alipakia mtu mgongoni???
mimi sioni tatizo na hiyo misaada!nashindwa kuwaelewa kwanini mmekuwa wakali
tatizo la rais ni KUIPOKEA YEYE MWENYEWE?ningeshangaa kama ungeona kuna tatizo. Ndio uzuri wa fikra tofauti kwenye demokrasia. Misaada haina tatizo lolote, tatizo liko kwa Rais!
Mmmmmh Kaaaaaaaaazi kwelikweli.tatizo la rais ni KUIPOKEA YEYE MWENYEWE?
au KWAMBA WACHINA HAWAKUCHANGIA RED-CROSS?