Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Mzee Invisible, Si useme tu kuliko kuturusha roho. Sisi wahusika utatuua kwa presha bora useme ili atakapotangaza presha iwe imepungua kuliko kutupa aibu ya kuzimia.

Chonde chonde tuambie basi, maana kutuficha kutaleta aibu hata kwa wake zetu. Twaweza kujikuta tumeharisha kitandani.

 

Mkuu Invisible,

Mbona j3 ndiyo inayoyoma wala hamna lolote??
 
Mkuu Invisible,

Mbona j3 ndiyo inayoyoma wala hamna lolote??

Liongo sana liinvizibo hivi wewe bado unaliamini? Hahahahaha lilikuwa kinafanya ushushushu! Halafu na mzee wa tezi dume kaduwaa ukawa wanabeba viti tu! Hahahahaha kaona majizi yanaleta balaa! Linchi hili la mapumbavu!
 
Tatizo kubwa la watanzania ni kufuata mkumbo,na nilisema huyo jamaa alikua anafanya ushabiki wa siasa na kwamba yeye nae kumbe ni bavicha
 

Hivi nyie jamaa mnamuaminia sana huyu muongo eehh? Invizibo hana lolote wakuu! Toka escrow hadi leo kawa muongo kabisa! Yaani mie nina data nyeti kuliko hili liongo kabisa! Uliona wapi mipasho mtoto wa kiume? Hahahahaha mnamuogopa sababu ni modi? Mi ashanilamba sana bani kwa sababu sipendi upumbavu!
 
Last edited by a moderator:
umesomeka invisible* wenye macho tumeona! wasioona jitahidini muone! ila bado wengine ambao sio ma...ri tunasubiri 'their fate' to be disclosed

We binafsi umeona nini kwa mfano? Acha kujipendekeza kwa wanaume! Umeona nini sasa hebu sema! Mmeanzisha ujinga wenu namaaidi kumikumi? Mnadhani hatujui?
 
invisible hapa ungeficha upumbavu wako lakini umeficha hekima yako... subiri baada ya muda mfupi kuanzia sasa na sikiliza habari utaona ndoto yako ni ya ndaria

Mi hili jamaa nalichukia sana siku hizi! Kawa ccm sana na kawa muongo sana!
 
Ndugu Usiyeonekana, siuoni ukurasa wa 14 wa ripoti ya CAG katika ambato ulilotuwekea humu JF, nauomba haraka sana (dharura) - kama huwezi kuuweka humu nitumie kwa barua pepe sasa hivi tafadhali!

Viroba bana! Sasa utafanya nini na page moja? Hivi we mzima kweli?
 

Punguza viroba! Haya leo jumanne sema sasa uharo wako!
 
pressure za wahisani tu.akiwaondoa mawaziri ataambiwa ahakikishe Seth amerudisha pesa ndo wapewe misaada.ni upumbavu kwa nchi tajiri kama Tanzania kutegemea misaada

Utajiri wa Tanzania wewe binafsi unaupimaje? Story za vijiweni wewe unaziamini? Bwana mabusha hajui kwa nn nchi yake maskini sembuse wewe pangu pakavu?
 
Serukamba na matusi yale Bungeni. Au .. Anarubuniwa kwa kuwa alishauri kuitaifisha mitambo ya IPTLna benk zilizohusika zibanwezirudishe ela wakati wa mjadala wa escrow bungeni.
 
Sisi tumegawana mitaa kama walivyogawana pesa za escrow kwenye rumbesa na viroba waendele na sisi huku ni mbele kwa mbele hakuna kulala
 
Kiuungwana kabisa kabisa, hapa mleta mada anatakiwa atuombe radhi... Kwa kutuaminisha kuwa Jumatatu kunajambo litatokea, halafu halikutokea. Vinginevyo aje atueleze alikuwa ana maanisha nini!!
 
Mtabiri hafungwi... mwenyewe akinusa imevuja anaweza kupotezea kulinda staha yake au a kina nanihii wakamwambia mkuu isiwe leo. Ila hili laja na haliepukiki.
 
hossam sijawa muongo bali ni ccm haswaa...soma magazeti ya leo hasa mwananchi uone matokeo na jinsi tulivyozoa viti..ninyi bado mnajikongoja
Mi hili jamaa nalichukia sana siku hizi! Kawa ccm sana na kawa muongo sana!
 
Have already said..... Hakuna kurudi nyuma Tanzania njema kuzaliwa is a must!

Niwarudishe kwenye uchaguzi wa mitaa maana hao wanaowekwa wacha waendelee kudunduliza pension yao kabla ya kuzamishwa bahari ya Sham; ile nguzo kuu ya kuhakiki uchakachuzi katika serikali ya mitaa UKAWA wameikata......

Ama kweli hii weekend ni mbaya hasa kupita ufahamu wa mwanadamu....

Jehova shalom libarikiwe jina lako kuu la wakati huu Jesus Christ of Nazareth.....You are truly ancient of days!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…