Ogopeni Simu! R.I.P Kanumba.

Acheni kabisa. . .Ila hata mkianza kuandikiana barua mambo yanaweza kuwa yale yale.
B. . .Unasoma nini?
G. . .Si kitu. . . .
B. . . Hmmmm embu nione!
G. . . Uhh uhhh. . .
B. . . Nione bwana. . .siumesema sio kitu?
G. . .We ya nini? Ntakwambia inahusu nini nikimaliza.

B anaipokonya. . .wanasukumana mmoja anaanguka. Kabla B hajamjali aliyeanguka anaangalia alichopokonya. . .anakutana na mioyo iliyochomwa mkuki kwa wingi. Shukrani kwa siku nzuri ya jana na salama kwa bweg'e ambae ndio yeye B.

Labda muamue kutoa na mawasiliano ya aina yoyote na mtu yeyote wa jinsia tofauti asie ndugu. Maana kama sio simu utawakuta chaka wananong'onezana.
 
Swala sio Simu
Swala ni kuwa waaminifu ,unapoamua kuwa na mpenzi,mme ni kujitoa kwa kila kitu..sio mguu mmoja ndani mwingine nje
 
Back
Top Bottom