Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Dear all,

hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya maana ila mambo ya ajabu yanafanyika pale!!!

nilikuwa nikinywa na marafiki zangu gafla nikaondoka na kuahidi kurudi muda si mrefu ,niliporudi nikakutawameenda kuwadai na kuwalazamisha walipe boss anataka kuondoka na pesa ,,nilipowauliza nikakuta wameambiwa nadaiwa 76,000 tofauti na ukweli halisi!!!akwa mwenzangu amelipa nilipomuuliza muhudumu mbona nilishalipa za mwanzoni akajibu kamuulize boss wangu!!ameshaondoka!!sikuwa na jibu,,nilipomuuliza yule mwanamke alijibu kwa matusi na kusema hizo ndio deni lako!!!nilibishana nao na kuwaonyesha zilizolipwa bahati mbaya mhudumu alikubali na bosi wake sijui alipaata wapi ile bill!!!

kama kawaida nilipouliza nikaambiwa hii ndio tabia ya huyo muhusika na hivyo siku nyingine muwe makini !!lingine nikashauriwa kuna wakati mwingine wanaweza kuwepo wahuni anajifanya amekutumia bia ,baadae unafwata na kuambiwa alieagiza ameondoka naomba bill yangu!!!hivyo kama mnakunywa toa hela waombe risiti utadaiwa na kuacha chupi usipokuwa makini kwa usichokunywa

cheers
 
yule mwanamke ni mjeuri kweli,namjua sana na nilihisi ipo siku watu watachoka,pole sana mama mia ndio ukubwa nenda sheraton!!
 
Dear all,

hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na
kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya maana ila mambo ya ajabu yanafanyika pale!!!
nilikuwa nikinywa na marafiki zangu gafla nikaondoka na kuahidi kurudi muda si mrefu ,niliporudi nikakutawameenda kuwadai na kuwalazamisha walipe boss anataka kuondoka na pesa ,,nilipowauliza nikakuta wameambiwa nadaiwa 76,000 tofauti na ukweli halisi!!!akwa mwenzangu amelipa nilipomuuliza muhudumu mbona nilishalipa za mwanzoni akajibu kamuulize boss wangu!!ameshaondoka!!sikuwa na jibu,,nilipomuuliza yule mwanamke alijibu kwa matusi na kusema hizo ndio deni lako!!!nilibishana nao na kuwaonyesha
zilizolipwa bahati mbaya mhudumu alikubali na bosi wake sijui alipaata wapi ile bill!!!

kama kawaida nilipouliza nikaambiwa hii ndio tabia ya huyo muhusika na hivyo siku nyingine muwe makini !!lingine nikashauriwa kuna wakati mwingine wanaweza kuwepo wahuni anajifanya amekutumia bia ,baadae unafwata na kuambiwa alieagiza ameondoka naomba bill yangu!!!hivyo kama mnakunywa toa hela waombe risiti utadaiwa na kuacha chupi usipokuwa makini kwa usichokunywa
cheers

Aaaaah Mama Mia,
Hamna kingine cha kuacha isipokuwa hiyo?
 
Acheni pombe mjipunguzie matatizo!

Kuacha pombe........?!!

Washauri kwanza TBL au Serengeti breweries waache kutengeneza bia!

Teh teh mkuu, kichaa katoa wazo...!

Pombe ni kiburudisho maridhawa kikinyweka kwa wakati na kiwango kinachofaa.
 
Kuacha pombe........?!!

Washauri kwanza TBL au Serengeti breweries waache kutengeneza bia!

Teh teh mkuu, kichaa katoa wazo...!

Pombe ni kiburudisho maridhawa kikinyweka kwa wakati na kiwango kinachofaa.

Duuh! Unasubiri hadi ufanyiwe!! Be Proactive, man!! Sababu si kuwepo kwa pombe, bali ni wewe mtumiaji wa pombe.
 
Bora kulipa mwanzo... haya ya bili yana matatizo sana

Kuna mkoa nilikwenda sikumbuki upi, wanakunywa finished bottles hazitolewi wanaweka chini ya miguu. ukimaliza wahesabu chupa tupu walipa!

Na Mkoa mwingine, nikaona wanahesabu vizipo ukinywa unaweka kizipo mfukoni. ukimaliza wahesabu

Waiter akija na kizibo chake ataeleza kakitoa wapi?
 
Mji wa Tanmzania au wapi!!! Mbona njia kiboko hii!!!
 
Mji wa Tanmzania au wapi!!! Mbona njia kiboko hii!!!

Trying to recall, mi si mwanji but i have a found hobby of visting Pubs kila napokuwa katika mkoa,

It's intresting to note kila mkoa wanywaji(wenyeji) wana character tofauti, kabisa mfano Iringa Mwanji mzoefu hawezi kunywa bila kupiga kelele, zikikolea lazma ataongea kwa sauti kubwa wote wamsikie n.k
 
Kuna mkoa nilikwenda sikumbuki upi, wanakunywa finished bottles hazitolewi wanaweka chini ya miguu. ukimaliza wahesabu chupa tupu walipa!

Na Mkoa mwingine, nikaona wanahesabu vizipo ukinywa unaweka kizipo mfukoni. ukimaliza wahesabu

Waiter akija na kizibo chake ataeleza kakitoa wapi?

This is pathetic !!

Usumbufu wote huu wa nini? Kwa nini watu wanasumbuliwa kiasi hiki wajameni? Heri ya mimi masikini ninayeishi online 'ninayekunywa kwa hisia' hizi bughudha hazitonipata..

teh teh teh..
 
Sehemu nyingine hata kwa mambo ya kubambikiwa bill ni Safari carnivore na jeshini masaki.tena jeshini ukigoma wanawaita ma MP ili wakudunde na kukutia ndani.sehemu zote mbili wenye bar wana collude na watu wao ili kujitengenezea pesa zaidi
 
Kuna mkoa nilikwenda sikumbuki upi, wanakunywa finished bottles hazitolewi wanaweka chini ya miguu. ukimaliza wahesabu chupa tupu walipa!

Na Mkoa mwingine, nikaona wanahesabu vizipo ukinywa unaweka kizipo mfukoni. ukimaliza wahesabu

Waiter akija na kizibo chake ataeleza kakitoa wapi?

... hii naikumbuka. Ni Mtwara. Wako makini sana. Ila trick hapa ni chupa ngapi kauza yule waiter, na si kukusaidia wewe kuhusu bill!
 
Kuna mkoa nilikwenda sikumbuki upi, wanakunywa finished bottles hazitolewi wanaweka chini ya miguu. ukimaliza wahesabu chupa tupu walipa!

Na Mkoa mwingine, nikaona wanahesabu vizipo ukinywa unaweka kizipo mfukoni. ukimaliza wahesabu

Waiter akija na kizibo chake ataeleza kakitoa wapi?
Hata Zenj miaka ile ya kunywa bia kwa leseni kulikuwa na utaratibu wa kuhesabu vizibo.....
 
Back
Top Bottom