Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

Pombe inapunguza nguvu za kiume
Labda Serengeti lager... Lakini Safari ni mkuyati tosha... na usije jaribu Konyagi na red bull kama huna kidate, manake utaishia kumaliza sabuni...
 
Attachments

  • Image583.jpg
    Image583.jpg
    735.8 KB · Views: 74
Last edited:
Dear all,

hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya maana ila mambo ya ajabu yanafanyika pale!!!

nilikuwa nikinywa na marafiki zangu gafla nikaondoka na kuahidi kurudi muda si mrefu ,niliporudi nikakutawameenda kuwadai na kuwalazamisha walipe boss anataka kuondoka na pesa ,,nilipowauliza nikakuta wameambiwa nadaiwa 76,000 tofauti na ukweli halisi!!!akwa mwenzangu amelipa nilipomuuliza muhudumu mbona nilishalipa za mwanzoni akajibu kamuulize boss wangu!!ameshaondoka!!sikuwa na jibu,,nilipomuuliza yule mwanamke alijibu kwa matusi na kusema hizo ndio deni lako!!!nilibishana nao na kuwaonyesha zilizolipwa bahati mbaya mhudumu alikubali na bosi wake sijui alipaata wapi ile bill!!!

kama kawaida nilipouliza nikaambiwa hii ndio tabia ya huyo muhusika na hivyo siku nyingine muwe makini !!lingine nikashauriwa kuna wakati mwingine wanaweza kuwepo wahuni anajifanya amekutumia bia ,baadae unafwata na kuambiwa alieagiza ameondoka naomba bill yangu!!!hivyo kama mnakunywa toa hela waombe risiti utadaiwa na kuacha chupi usipokuwa makini kwa usichokunywa

cheers

Pole mama wanataka kushibia migongoni mwa watu!
 
Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

--------------------------------------------------------------------------------

Quote:
Originally Posted by Yo Yo
Pombe inapunguza nguvu za kiume

Hii kiboko, ehe inapunguza vipi!!!

KWANGU =INANIONGEZEA NGUVU NA HAMU YA NANIIIIII
KAMA UKO INAPUNGUZA POLE!!!!KUNYWA W****KI
 
Kuna mkoa nilikwenda sikumbuki upi, wanakunywa finished bottles hazitolewi wanaweka chini ya miguu. ukimaliza wahesabu chupa tupu walipa!

Na Mkoa mwingine, nikaona wanahesabu vizipo ukinywa unaweka kizipo mfukoni. ukimaliza wahesabu

Waiter akija na kizibo chake ataeleza kakitoa wapi?

NA KIZIBO CHA BIA ZA KOPO WANAWEKA WAPI MKUU???!!!!

AVACHE SANA

lol
Yaani huyo jamaa angesema ni mkoa gani lazima ningeenda kula krismasi huko.

Mamami bia za kopo mbona rahisi, hilo kopo unalisukumiza chini ya meza tu.
 
kaka wewe uchumi wa nchi nsi utashuka watu wakiacha pombe maana kodi budget yetu inategemea bia zaidi labda ndo maana mambo hayaendi wakiongeza budget wanapandisha bei ya bia ku cover, na ajira hasa maeneo ya sinza si ndio basi tena tutaongeza changudoa mtaani yaani tuache ya kaisari na ya Mungu tumpe Mungu la sivyo kutokee ugonjwa wa bia kama mafua ya ndege vile

Huo uchumi wa wapi huo?

Mbona unasahau kwamba mauzo ya bia yakishuka watu watabaki na hela zao mfukoni? Fedha zikibaki mfukoni si watafanyia matumizi mengine? Wakifanyia matumizi mengine, hayo matumizi mengine si yatachangia kwenye kodi? Au hata wakiziacha benki, si benki zitakuwa na pesa zaidi za kukopesha? Kukiwa na pesa zaidi za kukupesha miradi si itaongezeka, au hata riba itashuka?

Yaani unavyoiweka ni kama vile watu wasiponunua bia basi hizo hela zao zinayeyuka.
 
Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

--------------------------------------------------------------------------------

Quote:
Originally Posted by Yo Yo
Pombe inapunguza nguvu za kiume

Hii kiboko, ehe inapunguza vipi!!!

KWANGU =INANIONGEZEA NGUVU NA HAMU YA NANIIIIII
KAMA UKO INAPUNGUZA POLE!!!!KUNYWA W****KI

Kweli?

Wewe unafaa sana.
 
Dear all,

hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya maana ila mambo ya ajabu yanafanyika pale!!!
..................!

kama kawaida nilipouliza nikaambiwa hii ndio tabia ya huyo muhusika na hivyo siku nyingine muwe makini !!l
..............!

Mama Mia , ni ile bar karibu na kwa MAma Mlaki? inaendeshwa na Mlebanoni, na Meneja wake mama ni Mrwanda au Mrundi? Tupe feed back
 
hilo tatizo la bill kuletwa isivyo linaweza kuwa la mtandao mpana hapo bar. kwasababu kama huo ndo mchezo wake lazima wateja wameshalalama sana kwa boss wa bar. kufumbia macho ni dalili ya yeye bosi kuhusika
 
Dear all,

hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya maana ila mambo ya ajabu yanafanyika pale!!!

nilikuwa nikinywa na marafiki zangu gafla nikaondoka na kuahidi kurudi muda si mrefu ,niliporudi nikakutawameenda kuwadai na kuwalazamisha walipe boss anataka kuondoka na pesa ,,nilipowauliza nikakuta wameambiwa nadaiwa 76,000 tofauti na ukweli halisi!!!akwa mwenzangu amelipa nilipomuuliza muhudumu mbona nilishalipa za mwanzoni akajibu kamuulize boss wangu!!ameshaondoka!!sikuwa na jibu,,nilipomuuliza yule mwanamke alijibu kwa matusi na kusema hizo ndio deni lako!!!nilibishana nao na kuwaonyesha zilizolipwa bahati mbaya mhudumu alikubali na bosi wake sijui alipaata wapi ile bill!!!

kama kawaida nilipouliza nikaambiwa hii ndio tabia ya huyo muhusika na hivyo siku nyingine muwe makini !!lingine nikashauriwa kuna wakati mwingine wanaweza kuwepo wahuni anajifanya amekutumia bia ,baadae unafwata na kuambiwa alieagiza ameondoka naomba bill yangu!!!hivyo kama mnakunywa toa hela waombe risiti utadaiwa na kuacha chupi usipokuwa makini kwa usichokunywa

cheers

kwa kawaida bar zote watumishi wakiwa wanawake huduma inakuwa mbaya sana! kama hukuwapa pesa au kinywaji wanasusa kukupa huduma.huwa wana kawaida ya kwenda kuwahudumia wateja wanaowapa pesa au kinywaji
 
Back
Top Bottom