AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
- Thread starter
-
- #41
Dogo una matatizo ya kukosa mchujo wa fm2 ..nyinyi watoto! hata kama ni kuinspire kuna lugha convenient na polite ..mind
HuYu Jamaaa aliyepresent hii Mada/thread, ni Mbululaaaaaaa kwa asilimia zaidi ya 100. Ni zao la Mulugo.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
wewe ni mbulula...tena mbulula mkubwa mwenye mtazamo wa kiloooser...tena bado kijana mdogo sana usiejua nin maisha..sasa kwa taarifa yako..maisha sio kuajiriwa tu wewe bwana mdogo na kama wewe sio wakishua hata usome nin utasota mwanzo mwisho mpka Mungu mwenyewe aruhus..katika husles za kuatfuta kazi walio na ahueni ni walimu na madoctor tu..wengine wote huslin iko sawa sawa...kazi ngumu kupata kama hujashikwa mkono na huna kimemo...SOLUTION ni kujiajiri tu...usiniulize mtaji unatoa wapi na ujiajiri katika nin..hayo yatajibiwa na hiyo elimu utakayoipata chuoni or whatsoever...ukichanganya na zako...over...!JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
mdogo wangu hkl vyuoni wanasoma b.com zote na hata hiyo baf kwa engineering bongo hawasomi îla ukienda nchi ka india unapiga pre univesity kibrush hiyo physics then unapiga chuo swala la marketability bongo ni chances na connections zaidi labda udaktari kuna nafuu.mkuu hebu tazama hii,mtu wa hkl ataweza soma f,bcom,tele,electronics
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.
Kapata vi c vitatu vya Science keshajiona Faraday au Isack Newton, tambua maisha sio sawa na kuchezea Scientific calculator ku find Log,cos na Tan!
Punga.....Nilifikiri umeshaajiriwa kumbe ndo umemaliza form four? Umepata wapi jeuri ya kuwapotosha wenzio?JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
ahsante komredi! Umeshindwa kuonesha udhaifu wa hoja yangu, enewei happy easter to you.
form four wa mwaka huu mnajulikana tuJF.Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012, Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.Ahsanteni....