Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Mark my words to what i did post early.... One day you will rember me
 
Sawa Mkuu ntakutafuta nikikosa ajira nasoma b.com

Kijana suala la ajira tanzania ni gumu saba ukiwa chuo huwezi kujua ngoja umalize chuo utaona kwa macho yako.... Nasema tena epuka kuwadharau wenzako kwa kozi zao.... Tunza haya maneno yangu utaniambia
 
Nahisi umekosea !! HGE ? U mean HGL ? Eti comb dhaifu duh unaijua Economics wewe? Acha masihara
 
Kijana suala la ajira tanzania ni gumu saba ukiwa chuo huwezi kujua ngoja umalize chuo utaona kwa macho yako.... Nasema tena epuka kuwadharau wenzako kwa kozi zao.... Tunza haya maneno yangu utaniambia
Mkuu kazi najua ni ngumu sana ila za arts ni zaidi asee
 
Mkundu wewe jinga kabisa kaongelee choni
 
Kumbe maisha na mchepuo wa Elimu vina uhusiano?
 
Zao la BRN (Boost Result Network) katika ubora wako tena kumbuka Mama Ndalichako kafuta GPA ...nenda kapige hiyo PCM utuletee Heshima ya division ZIRO Kitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…