Kuna taasisi za serikali, taasisi na kampuni binafsi zinazopenda Kupata idea in cheap way kutoka Kwa VIJANA Kwa kisingizio Cha mshindi WA kwanza, 2, 3 etc wametenga kiasi flani.
Kuna VIJANA wanatoa idea zao kati ya vijana walioshiri mfano 1000, Kuna idea nyingi sana humo.
Swali la kujiuliza washiriki wanashiriki kienyeji via submission ya HIZo idea.
Muda WA KUTANGAZA mshindi au washindi hautajwi, muda utakaotumika kuchakata idea haujulikani.
The rest unaona TU matokeo na hakuna kujua mchakato umefanyikaje wapi na rest hawajawa mention HATA KWENYE website kwamba walishiriki Hawa wanepatikana YAANI kama matokeo ya mitihani ya shule.
WENGINE HATA mshindi hutokaa uje kumsikia wapi.
Onyo.
Usipende mafanikio RAHISI pambania mambo YAKO.
Taasisi za serikali KUTUMIA VIJANA kufanya kazi ambazo zingefanywa na makampuni Kwa tenda ni wizi mtupu. Na usumbufu.
KUFANYA kazi na kampuni ni Bora KULIKO kuadaa VIJANA wanatoa idea zao wengine wanaiba Kuna vitu vya serikali KATIKA arts ni vya wizi.
Msinyonywe, usinyonywe Wala kunyonyana