Ogopa sana hii kabila

Kuna huyo Afrikanis no 8 anawaza nini ? Mbona kapinda hivyo ?
Kabila gani huyu ?
 
Kuna huyo Afrikanis no 8 anawaza nini ? Mbona kapinda hivyo ?
Kabila gani huyu ?
Hajaribiwi [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Dogs with six packs
 

Sijui kama kuna ujumbe wa picha kutoka kwa mshana jr, Ila kama hakuna nahisi hilo kabila wanaliita greyhound. Ni aina ya mbwa wanaotumika kwenye mashindano ya mbio. Kwa wanyama yeye ni wa pili kwa mbio
Baada ya mnyama gan
 
Samawani mkuu nilikuwa natania maana huwa huchelewi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Mbwa wa kishenzi!! Basi sawa.
 
Mbwa wa kishenzi!! Basi sawa.

Nafikiri wamewaita umbwa wakishenzi sababu asili ya wazazi ni tofauti kila uzao(line of generation), umbwa hawa ndio tunawaona kila vijiji vya afrika, wakitaka kupandana(kujamiana) mwenye nguvu ndio anapanda(natural selection) tofauti na umbwa wanaofungwa kisasa kama ni german sherphad atapandwa na german sherphad mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…