Kabisa, mavazi hu reflect inward behaviour ya mtu
Tena ukute kale kaembamba, vichuchu saa sita kameshikilia dera kwa mkono mmoja? Maweee!!!!! Mcharuku ++
Unaokota hako unapeleka nyumbani eti umepata kitu saasiti🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️Hakuna rangi utaacha kuiona
Subiri mdundiko upite au jirani kuwe kuna hizi ngoma za vigodoro ndio utaujua vizuri mzigo ulio nao ndani