Tafsiri ya umaskini, dhambi na ujinga ni ukiwa umekaa kona gani?Ogopa mambo haya matatu!
Anaandika, Robert Heriel.
Yawezakana kuna mambo yanakuogopesha sana katika maisha yako. Lakini lazima uelewe kuwa yapo mambo makuu unayopaswa kuyaogopa Sana, tena Sana!
Mambo hayo ni:
1. Dhambi
2. Umasikini
3. Ujinga
1. Dhambi/Uovu/ uhalifu
Katika maisha yako ogopa kitu inaitwa dhambi/Uovu/ Uasi Kwa Mungu wako.
Unajua Kwa nini? Kwa sababu;
i. Dhambi inaaibisha.
Wakati unaifanya dhambi inakupofusha macho. Unakuwa Kama kipofu. Unaweza hata Kufanya Mapenzi vichakani, unaweza kubaka, unaweza kuwa mshirikina na mchawi ukavua nguo.
Unakuwa Shoga unapumuliwa unaaibika na kuabisha wazazi na watoto wako. Ila ukifumaniwa hapo ndipo utajua dhambi ni mbaya.
ii. Dhambi inaua.
Ogopa dhambi Kwa sababu ndio chanzo pekee cha uhakika cha kifo chako. Ili Binadamu afe kabla ya wakati wake basi itampasa afanye dhambi au mtu Fulani amtendee dhambi.
iii. Dhambi inakufanya utese wengine bila huruma.
Unaiba pesa za umma bila kujali huku raia wanakufa bila madawa. Unakuwa jambazi na kutoa roho za watu. Unazini unamtesa mkeo/mumeo.
Dhambi inakufanya usiwe na huruma na wengine.
iv. Dhambi inaleta umasikini.
v. Dhambi inaleta magonjwa, vita, na njaa.
2. Umasikini
Baada ya Dhambi ogopa umasikini. Sababu zinaingiliana.
Umasikini unaaibisha, unatesa, unaua, unadhalilisha, unashusha utu wako. Ogopa umasikini Kwa nguvu zote.
3. Ujinga
Hili ni jambo la mwisho. Ogopa ujinga, ujinga unadhuru, unaua, unakufanya ufanye dhambi, unakufanya uwe masikini, ujinga unakufanya uwe mtumwa.
Hivyo ogopa watu hawa na waepuke,
1. Waovu
2. Masikini
3. Wajinga
Hao kaa nao mbali, makundi hayo ukae nayo kwa tahadhari sana. Ni hatari kuliko hatari yenyewe.
Taikon leo sina mengi.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es salaam.
Bas panatosha hapa nilipoNa kwenye maisha usitafute Utajiri, dunia hautaifaidi. Watafaidi watoto wako.
Labda uukute.
Raha ya maisha uwe daraja la Kati.
Wengi wetu uchumi hauruhusu,kuoa mke wa pili.., lakini ni ukweli usiopingika kwamba mwanaume aliyekamilika huwezi kutosheka na mke mmoja,labda huwe masikini hoehae,..hii dhambi ya uzinzi huwezi kuiruka..,hata wewe nafikiri huu mtego unaweza kukunasa,Kwa nini usioe mke mwingine au wengine hata kumi
Bas panatosha hapa nilipo
Wengi wetu uchumi hauruhusu,kuoa mke wa pili.., lakini ni ukweli usiopingika kwamba mwanaume aliyekamilika huwezi kutosheka na mke mmoja,labda huwe masikini hoehae,..hii dhambi ya uzinzi huwezi kuiruka..,hata wewe nafikiri huu mtego unaweza kukunasa,
Tafsiri ya umaskini, dhambi na ujinga ni ukiwa umekaa kona gani?
Umasikini ni mbaya sana
Mkuu zaidi ya JF ni wapi kwingine naweza kuwa napata maandiko yako?Ogopa mambo haya matatu!
Anaandika, Robert Heriel.
Yawezakana kuna mambo yanakuogopesha sana katika maisha yako. Lakini lazima uelewe kuwa yapo mambo makuu unayopaswa kuyaogopa Sana, tena Sana!
Mambo hayo ni:
1. Dhambi
2. Umasikini
3. Ujinga
1. Dhambi/Uovu/ uhalifu
Katika maisha yako ogopa kitu inaitwa dhambi/Uovu/ Uasi Kwa Mungu wako.
Unajua Kwa nini? Kwa sababu;
i. Dhambi inaaibisha.
Wakati unaifanya dhambi inakupofusha macho. Unakuwa Kama kipofu. Unaweza hata Kufanya Mapenzi vichakani, unaweza kubaka, unaweza kuwa mshirikina na mchawi ukavua nguo.
Unakuwa Shoga unapumuliwa unaaibika na kuabisha wazazi na watoto wako. Ila ukifumaniwa hapo ndipo utajua dhambi ni mbaya.
ii. Dhambi inaua.
Ogopa dhambi Kwa sababu ndio chanzo pekee cha uhakika cha kifo chako. Ili Binadamu afe kabla ya wakati wake basi itampasa afanye dhambi au mtu Fulani amtendee dhambi.
iii. Dhambi inakufanya utese wengine bila huruma.
Unaiba pesa za umma bila kujali huku raia wanakufa bila madawa. Unakuwa jambazi na kutoa roho za watu. Unazini unamtesa mkeo/mumeo.
Dhambi inakufanya usiwe na huruma na wengine.
iv. Dhambi inaleta umasikini.
v. Dhambi inaleta magonjwa, vita, na njaa.
2. Umasikini
Baada ya Dhambi ogopa umasikini. Sababu zinaingiliana.
Umasikini unaaibisha, unatesa, unaua, unadhalilisha, unashusha utu wako. Ogopa umasikini Kwa nguvu zote.
3. Ujinga
Hili ni jambo la mwisho. Ogopa ujinga, ujinga unadhuru, unaua, unakufanya ufanye dhambi, unakufanya uwe masikini, ujinga unakufanya uwe mtumwa.
Hivyo ogopa watu hawa na waepuke,
1. Waovu
2. Masikini
3. Wajinga
Hao kaa nao mbali, makundi hayo ukae nayo kwa tahadhari sana. Ni hatari kuliko hatari yenyewe.
Taikon leo sina mengi.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es salaam.
Mkuu zaidi ya JF ni wapi kwingine naweza kuwa napata maandiko yako?
Ok dah sema mimi siko facebook. Kw anini usifungue Telegram Channel na Twitter pia. Ushauri tu.Fuatilia page yangu ya Facebook, Inaitwa Robert Heriel Tz
Huko nipo Mkuu
Ok dah sema mimi siko facebook. Kw anini usifungue Telegram Channel na Twitter pia. Ushauri tu.
NDo naangaikia makaz natokwa na jasho nimeishia uwanja TU π₯Kama unakula vizuri
Unakazi ya uhakika
Unamakazi yako,
Kinachobaki ni kutafuta Urithi WA watoto
NDo naangaikia makaz natokwa na jasho nimeishia uwanja TU π₯
Asante sanaJengea chini.
Kisha malizia juu.
Ndio mbinu rahisi kabisa ya ujenzi WA nyumba Kwa wenye vipato vidogo
Hauna group WhatsApp lako ili wapenda kusoma tujoin huko Mkuu au ?Nitafanya hivyo Mkuu.
Twitter ninayo. Ila siitumii mara Kwa mara
Naked Truth
Dhambi inaua.
Ogopa dhambi Kwa sababu ndio chanzo pekee cha uhakika cha kifo chako. Ili Binadamu afe kabla ya wakati wake basi itampasa afanye dhambi au mtu Fulani amtendee dhambi.
. Dhambi inakufanya utese wengine bila huruma.
Unaiba pesa za umma bila kujali huku raia wanakufa bila madawa. Unakuwa jambazi na kutoa roho za watu. Unazini unamtesa mkeo/mumeo.
Dhambi inakufanya usiwe na huruma na wengine.